Angalia Zelensky Alivyonywea

Angalia Zelensky Alivyonywea

Yani leo nimegundua kuwa wa TZ lugha inatupiga chenga sana kiasi kwamba tunashindwa kuelewa yanayozungumzwa na badala yake tunahamia kwenye ushabiki ili tuonekane kuwa tunauelewa.

Kwakifupi raisi Zelensky hajaonekana mnyonge na wala hakuna aibu aliyoipata kama wengi wanavyonena. Ameonyesha ujasiri sana kama Raisi wa inchi ambaye yupo kwaajili ya maslahi ya taifa yake. Hakika huyu ni mwamba.

WaTz tujifunze lugha tafadhali.
 
View attachment 3253719
Trump ni Rais wa watu wa Marekani, ni lazima atetee maslahi ya watu wake

Hata sisi watanzania tunatamani tupate kiongozi wa kutetea maslahi yetu

Nimefuatilia vijana wa Marekani wanampenda sana Rais wao

Hawa CNN na BBC wanatudanganya tu
Vijana wa Marekani wanampenda Rais wao Trump kama vijana wa Tanzania wanavyompenda Rais wao Mama Samia Suluhu Hassan!
 
Maoni ya Waafrika yanashangaza. Zelenskyy angeongea kinyonge na kukubali kila dharau aliyofanyiwa yeye na nchi yake na kusisitiza maombi ya msaada wa Marekani, comment za kumdharau zingejaa hapa JF hasa kwa wengi wanaoichukia Marekani, NATO na Ukraine yenyewe.

Sasa kajitutumua mbele ya Trump na media yake, bado anachekwa na kuitwa mjinga, hana akili, eti kadharaulishwa sana! Wengi hawajafuatilia kwa umakini kampeni mbaya ya Trump na mawaziri wake dhidi ya Ukraine waliyofanya tangu wiki iliyopita kule Ulaya na Saudi Arabia wakishirikiana na Urusi na katika mazungumzo ya simu kati ya Trump na Putin.

Putin inajulikana madai yake ya msingi tangu aingie madarakani 1999 ni kuwa Ukraine ni sehemu halali ya Urusi iliyojitenga kwa makosa ya kihistoria. Na kwamba njama za mabeberu zinataka kutenganisha kabisa undugu ulioko kati ya watu wa Ukraine na Urusi. Trump anafahamu habari hiyo. Ndio maana amekuwa akimkumbusha Zelenskyy kuwa akileta ujinga atajikuta hana nchi. AU siku moja Ukraine itakuwa Jimbo la Urusi.

Neither way, Zelenskyy can win. Hakuna Zelenskyy atakachofanya aonekane wa maana. Leo kaonyesha kukata tamaa kabisa na kuamua kusema ovyo. Bila shaka, ili yawepo angalau maelewano hata ya kubabaisha kati ya Ukraine na USA, itabidi Zelenskky ajiuzulu apishe Rais mwingine atakeyebeba zigo la kukabiliana na US na Putin. Sidhani kama Trump atataka tena kukutana na Zelenskyy.

Mashabiki wa miamba "strongmen" hasa Putin, roho zao zinazidi kuwa kwatu. Jeuri aliyoonyesha Zelenskyy miaka mitatu itakuwa imefutiliwa mbali! Kwamba sasa Putin atazidi kufanikiwa!

Najiuliza sana inakuwaje watu wanafurahia mafanikio ya dikteta Putin hata kwa kupewa msaada na Rais wa Marekani? Halafu wanamchukia mtu aliyeonyesha ujasiri mkubwa wa kuongoza nchi yake dhidi ya uvamizi wa nchi kubwa sana kuwazidi?

Hii ni hulka ya namna gani? Kama vile naanza sasa kuelewa ilikuwaje Waafrika wakazolewa utumwani kwa maelfu bila resistance ya maana.

Trump: "If you didn't have our equipment this war would have been over in three weeks".

Zelenskyy: "In three days, I heard it from Putin, in three days".

Such insolence!
"Hii ni hulka ya namna gani? Kama vile naanza sasa kuelewa ilikuwaje Waafrika wakazolewa utumwani kwa maelfu bila resistance ya maana"

Huu mgogoro unahitaji watu wenye akili kama wewe kuweza kuuchambua wengine wanashabikia nchi fulani kama timu za mpira. Ukraine ana kila haki ya kuzuia nchi yake kwenda kwa hao wanaojiita super power. Period. Hata mimi sishangai kwanini wakoloni watutalawa kwa akili za hawa mashabiki wa Urusi no way
 
Utakuwa una matatizo ya akili.

Nchi ya Urusi tayari imezivamia kijeshi karibia nchi zote kabisa ambazo ni majirani zake anaopakana nao. Ina maana kwamba wewe hulijui jambo hili kweli??? Nakumbuka Mwaka 2008 aliivamia Georgia
Kwa hiyo Georgia ipo ndani ya Urusi au ni Nchi huru kama jibu ni Nchi huru basi we utakua shoga na unatetea mashoga wenzio
 
Hatakagi kuongea na watu ambao sio level yake....

Vijana wanataka kudundana mzee anasogeza siku sijui watoto itakuaje?
 
Maoni ya Waafrika yanashangaza. Zelenskyy angeongea kinyonge na kukubali kila dharau aliyofanyiwa yeye na nchi yake na kusisitiza maombi ya msaada wa Marekani, comment za kumdharau zingejaa hapa JF hasa kwa wengi wanaoichukia Marekani, NATO na Ukraine yenyewe.

Sasa kajitutumua mbele ya Trump na media yake, bado anachekwa na kuitwa mjinga, hana akili, eti kadharaulishwa sana! Wengi hawajafuatilia kwa umakini kampeni mbaya ya Trump na mawaziri wake dhidi ya Ukraine waliyofanya tangu wiki iliyopita kule Ulaya na Saudi Arabia wakishirikiana na Urusi na katika mazungumzo ya simu kati ya Trump na Putin.

Putin inajulikana madai yake ya msingi tangu aingie madarakani 1999 ni kuwa Ukraine ni sehemu halali ya Urusi iliyojitenga kwa makosa ya kihistoria. Na kwamba njama za mabeberu zinataka kutenganisha kabisa undugu ulioko kati ya watu wa Ukraine na Urusi. Trump anafahamu habari hiyo. Ndio maana amekuwa akimkumbusha Zelenskyy kuwa akileta ujinga atajikuta hana nchi. AU siku moja Ukraine itakuwa Jimbo la Urusi.

Neither way, Zelenskyy can win. Hakuna Zelenskyy atakachofanya aonekane wa maana. Leo kaonyesha kukata tamaa kabisa na kuamua kusema ovyo. Bila shaka, ili yawepo angalau maelewano hata ya kubabaisha kati ya Ukraine na USA, itabidi Zelenskky ajiuzulu apishe Rais mwingine atakeyebeba zigo la kukabiliana na US na Putin. Sidhani kama Trump atataka tena kukutana na Zelenskyy.

Mashabiki wa miamba "strongmen" hasa Putin, roho zao zinazidi kuwa kwatu. Jeuri aliyoonyesha Zelenskyy miaka mitatu itakuwa imefutiliwa mbali! Kwamba sasa Putin atazidi kufanikiwa!

Najiuliza sana inakuwaje watu wanafurahia mafanikio ya dikteta Putin hata kwa kupewa msaada na Rais wa Marekani? Halafu wanamchukia mtu aliyeonyesha ujasiri mkubwa wa kuongoza nchi yake dhidi ya uvamizi wa nchi kubwa sana kuwazidi?

Hii ni hulka ya namna gani? Kama vile naanza sasa kuelewa ilikuwaje Waafrika wakazolewa utumwani kwa maelfu bila resistance ya maana.

Trump: "If you didn't have our equipment this war would have been over in three weeks".

Zelenskyy: "In three days, I heard it from Putin, in three days".

Such insolence!
Punguza kuangalia CNN na BBC wewe mnamezeshwa sana matangori na nyie mnayachukua tu bila ya kuyachuja na akili zenu, lini ulimskia au wapi uliona Putin akitamka kwamba lengo la hii vita ni yeye kuichukua Ukraine?

Hizo media za mashoga zimewabrainwash sana nyie vijana na huku zikiwachagulia viongozi ambao mnatakiwa muwapende na wengine kuwaita madikteta, labda nikujue hao viongozi ulioaminishwa na madikteta kwa wengine tunawaona ni wazalendo, na wako imara kweli kweli kuliko hao viongozi dhaifu unaowaona wana demokrasia.
 
Urusi haikutaka kamwe kumuua Zelensky kwasababu walitaka aumie kuona matukio yote ya maangamizi kwenye nchi yake ila kwasaaa kuna uwezekano wa Zelensky kuuawa na Mamluki wa Marekani.
Wachambuzi wa kibongo bwana 🤣🤣🤣🤣
Haya ngoja tusubiri
 
View attachment 3253719
Trump ni Rais wa watu wa Marekani, ni lazima atetee maslahi ya watu wake

Hata sisi watanzania tunatamani tupate kiongozi wa kutetea maslahi yetu

Nimefuatilia vijana wa Marekani wanampenda sana Rais wao

Hawa CNN na BBC wanatudanganya tu
Ifike mahali tuanze kumwomba Mungu maombi na utaratibu usiofaa kwa wanadamu wachache, ila itakuwa dawa ya kupona kwa wengi

Mungu aruhusu fimbo ya mauti iwakute wote waliojivika umamlaka ya ndani ya kujipea nchi yetu na maliasili za nchi yetu

Wamejipea thamani zote za nchi yetu, na wao ndio hukaa kupitisha kwamba, wengine itufae nini ili tuishi

Vinono vyote wamechukua wao tu na familia zao kana kwamba, wao walikuwepo na walikubaliana na Muumbaji kuvichukua hivyo vinono vya nchi na wengine tuwe walamba miguu wao

Mungu, kwa niaba ya wengi, masikini wa nchi hii, waliofukarishwa kiulazima na hao majambazi wa nchi hii,

Wanaoonewa kulipishwa kodi zisizo na miguu wala mikia na hayo maendeleo yatokanayo na kodi zao hayarudi kwao, Mungu wa haki, unayetawala vyote, Mungu wa masikini na matajiri,

Mungu, twakuomba uondoe hao waliojimilikisha utajiri wa nchi yetu

Kumbuka, wewe ndiye Mungu wetu, na kwa sisi watanzania, tunapohitaji jambo lolote, tunapodhulumiwa, tunaponyanyaswa, huwa hatuchukui sheria mkononi, mara zote huinua nyuso zetu kwako kukusihi wewe, Ingilia kati Ee Bwana wa Vita

Komesha kabisa uonezi huu kwa jina lako tukufu, wachukue wote hao wadhulumaji wa nchi hii, kila mwenye pumzi aseme Amina
 
View attachment 3253719
Trump ni Rais wa watu wa Marekani, ni lazima atetee maslahi ya watu wake

Hata sisi watanzania tunatamani tupate kiongozi wa kutetea maslahi yetu

Nimefuatilia vijana wa Marekani wanampenda sana Rais wao

Hawa CNN na BBC wanatudanganya tu
Mchonganishi kakaa pembeni tulii anamsoma Zelenski.

Trump kapata kaimu anaeendana nae akili.
 
Ila Trump bepari balaa. Anamlazimisha bwana mdogo kusaini dili.
Mii ningekuwa Zelenksy ningepiga simu kwa Puti haraka sana kukubali yaishe kwa kamwe sitafikiria Ukraine kuwa NATO ili angalau madini ya Ukraine yabaki kwa wayukraine maana wayukraine siyoi watu wanyonge sana kiuchumi, wangeweza kuchimba wenyewe kwa kampuni zao au kwa ubia na kampuni za nje kuliko kuyaweka rehani madini kwa bepari marekani.
 
HAKUNA ATAMAYEMUUA ZELENKIY TAFUTA HISTORIA YAKE UTAJUA KAMA KUFA ANGEKUFA KITAMBO HUMU WATU WASIOJIELEWA WANATEYE upumbavu ZELE ALIALIKWA HUWEZI MUALLIKA MGENI KISHA UNSMTUKANA KUMUWEKA CHINI US PIA THEY NEED HIM WANAHITAJI RARE EARTH BIT HUWEZI KUHITAJI KITU BY BLACKMAILING SOMEONE
ndugu hawa jamaa wa us walioingia ikuru ni wahuni konki, binafsi naamini yaliyotokea pale ni yalipangwa kabla, kwamba tumshushe, tumtishe mpaka ajione hana lolote, kisha afanye tunavyotaka. Zele aliwashtukia
 
Hapana USA watalazimisha atolewe madarakani

Trump ni mtu wa kulazimisha si kuua

Washaanza kumuita DIKTETA
putin ana uwezo kumuua zelesky kitambo sana, inasemekana Israel walimwomba asimuue (zelesky baba yake na mama yake wote ni wayahudi), putin hataki kumuua, ila kwa sasa, akiona amegombana na marekani, kuna uwezekano akamuua ili kiongozi mwingine atakayekuja akae kwenye kiti wayamalize. namwonea huruma sana zelesky kwa sababu pale awali hakutegemea yafakuwa hivi, aliaminishwa na marekani na ulaya kwamba watamsaidia kuishinda russia, akajiamini kweli, kumbe wanamtoa mhanga. kati ya viti atajilaumu maisha yake yote ni kukubali kupigana na putin, imemuumiza moyo na inaweza kumpunguzia hata maisha kwani kiroho na maumivu na aibu aliyoipata na kudhalilishwa hakupimiki. imagine, hata juzi, rais wa marekani anamdhalilisha mbele ya tv utafikiri anaongea na kibaka wa mtaani tu kumbe anaongea na rais wa nchi, anayewakilisha waukrain wote. sio hivyo tu, makamu wa rais ambaye ningekuwa mimi ni zelesky ningemwambia anyamaze kimya mimi kama rais nitaongea na rais mwenzangu yeye aende ukraine akaongee na makamu wangu. sijui kwa nini alisahau kumwambia vile? makamu wa rais anamdhalilisha rais mbele za watu? sijawahi ona.
 
Back
Top Bottom