Msela Wa Kitaa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2021
- 1,396
- 2,704
Huku Trump huku VanceSasa kaenda kufanyaje? Alitarajia Win Win mbele ya Trump/US? Ni kama kaenda kutibua
kati ya watu walioaibishwa mno leo hii, zelesky ni wa kwanza dunia nzima. wamemshambulia kama mtoto mdogo, hawajamheshimu kama rais. ila na yeye ni noma, amepambana, amemjibu trump apendavyo na ameondoka bila kusaini chochote, na kamwambia trump hataki majadiliano yoyote na urusi ambayo yatahusisha marekani, maana yake ni kwamba hamwamini trump kwenye mazungumzo hayo. kawanyoosha wamarekani hadi wanalalamika kuwa ameidharau white house tena akiwa ndani mle mle.View attachment 3253719
Trump ni Rais wa watu wa Marekani, ni lazima atetee maslahi ya watu wake
Hata sisi watanzania tunatamani tupate kiongozi wa kutetea maslahi yetu
Nimefuatilia vijana wa Marekani wanampenda sana Rais wao
Hawa CNN na BBC wanatudanganya tu
Zelensky anategemea kila kitu kwenye kupigana kwake kutoka USA. Satellite ya kijeshi hana anategemea ya Elon Musk.Wakimkatia msaada wiki 2 hamna kitu atakachofanya zaidi nchi yake itamegwa zaidi.kati ya watu walioaibishwa mno leo hii, zelesky ni wa kwanza dunia nzima. wamemshambulia kama mtoto mdogo, hawajamheshimu kama rais. ila na yeye ni noma, amepambana, amemjibu trump apendavyo na ameondoka bila kusaini chochote, na kamwambia trump hataki majadiliano yoyote na urusi ambayo yatahusisha marekani, maana yake ni kwamba hamwamini trump kwenye mazungumzo hayo. kawanyoosha wamarekani hadi wanalalamika kuwa ameidharau white house tena akiwa ndani mle mle.
ninachokiona, soon atauawa ili aje rais mwingine atakayewapa wamarekani hayo madini. mark my words.
A well and objective analysis.kati ya watu walioaibishwa mno leo hii, zelesky ni wa kwanza dunia nzima. wamemshambulia kama mtoto mdogo, hawajamheshimu kama rais. ila na yeye ni noma, amepambana, amemjibu trump apendavyo na ameondoka bila kusaini chochote, na kamwambia trump hataki majadiliano yoyote na urusi ambayo yatahusisha marekani, maana yake ni kwamba hamwamini trump kwenye mazungumzo hayo. kawanyoosha wamarekani hadi wanalalamika kuwa ameidharau white house tena akiwa ndani mle mle.
ninachokiona, soon atauawa ili aje rais mwingine atakayewapa wamarekani hayo madini. mark my words.
HAKUNA ATAMAYEMUUA ZELENKIY TAFUTA HISTORIA YAKE UTAJUA KAMA KUFA ANGEKUFA KITAMBO HUMU WATU WASIOJIELEWA WANATEYE upumbavu ZELE ALIALIKWA HUWEZI MUALLIKA MGENI KISHA UNSMTUKANA KUMUWEKA CHINI US PIA THEY NEED HIM WANAHITAJI RARE EARTH BIT HUWEZI KUHITAJI KITU BY BLACKMAILING SOMEONEkati ya watu walioaibishwa mno leo hii, zelesky ni wa kwanza dunia nzima. wamemshambulia kama mtoto mdogo, hawajamheshimu kama rais. ila na yeye ni noma, amepambana, amemjibu trump apendavyo na ameondoka bila kusaini chochote, na kamwambia trump hataki majadiliano yoyote na urusi ambayo yatahusisha marekani, maana yake ni kwamba hamwamini trump kwenye mazungumzo hayo. kawanyoosha wamarekani hadi wanalalamika kuwa ameidharau white house tena akiwa ndani mle mle.
ninachokiona, soon atauawa ili aje rais mwingine atakayewapa wamarekani hayo madini. mark my words.