Angalia: Zitto na dadaye, Lissu na dadaye, Ndesa na mwanawe, Dr Slaa na mkewe, Ndesa na mkwewe. Je, Viti Maalumu CHADEMA huzingatia mahusiano?

Bulembo na mwanae wote wabunge wa kuteuliwa yani ladies free,mama sita na mwanae.ridhiwan na mama yake vipi niongezee sautiiiiii
Kunya anye kuku,akinya Bata,kaharisha mbona Jiwe kaweka mjomba wake hazina hamsemi,
Kikwete aliweka mke na mtoto bungeni,Watoto wa kawawa,mmoja alikuwa Mbunge,mwingine DC,Karume je,mwinyi je,
 
Macho yako yanamulika CDM tu,ya ccm huyaoni.
Vita Kawawa,Ridhiwani Kikwete,Nape Mnauye,Hussein Mwnyi,Karume,Mlinga,Bulembo na mwanaye huwaoni wala hujasikia habari zao? Magufuli na ukoo wake alioujaza kuanzia hazina hadi tenda za ujenzi kwako ni sawa tu ila CDM ni tatizo???
 
Hili sakata hulijuagi lilivyo
 
Magufui na mtoto wa dada yake Doto James -Katibu Hazina
Magufui na mtoto wa dada yake Kheri James -Mwenyekiti Vijana CCM
Edward Ngoyai- fred Mbunge
Pinda - Mwanaye Mbunge
Ditopie- Mwanaye Mbunge
Samwei Sitta -Mkwewe Mbunge
Buembo-Mwanaye Mbunge

Sema hapo sasa
 
Ashiru na mbunge wa babati je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…