Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kunya anye kuku,akinya Bata,kaharisha mbona Jiwe kaweka mjomba wake hazina hamsemi,Bulembo na mwanae wote wabunge wa kuteuliwa yani ladies free,mama sita na mwanae.ridhiwan na mama yake vipi niongezee sautiiiiii
Macho yako yanamulika CDM tu,ya ccm huyaoni.Najaribu tu kuwakumbusha wale wanaomwandama Mbowe kwamba aliwanyanyasa kijinsia baadhi ya wabunge wa viti maalumu Chadema. Kiukweli mnamuonea bure kabisa mwenyekiti.
Utaratibu wa kuwapata wabunge wa viti maalumu umekuwa na sintofahamu tokea chama hicho kiasisiwe.
Nitoe mifano michache ya wabunge waliokuwa na uhusiano na viongozi wa Chadema na wakateuliwa kutumikia viti maalumu
Katibu mkuu Dr Slaa na " mama watoto" wake Rose Kamili
Naibu Katibu mkuu Zitto Kabwe na dada yake
Mwanasheria wa Chama mzee Marando na shemejie Chiku Abwao
Mjumbe wa CC/mwanasheria Tundu Lisu na dada yake rip
Mjumbe wa CC Ndesamburo rip na mkwewe Grace
Mjumbe wa CC Ndesamburo rip na mwanae Owenya
Katika mazingira kama hayo anayelalamika anapaswa kuzungumzia mfumo mzima na siyo kumsimanga Mbowe ambaye hajampa ubunge ndugu yake yoyote.
Kama huna mtu wa kukubeba basi ni lazima utatumia mbinu za ziada kwahiyo unapolialia baadae ni kwamba ama unajidharirisha au unatangaza biashara kwa chama chako kipya.
Maendeleo hayana vyama!
Hili sakata hulijuagi lilivyoMacho yako yanamulika CDM tu,ya ccm huyaoni.
Vita Kawawa,Ridhiwani Kikwete,Nape Mnauye,Hussein Mwnyi,Karume,Mlinga,Bulembo na mwanaye huwaoni wala hujasikia habari zao? Magufuli na ukoo wake alioujaza kuanzia hazina hadi tenda za ujenzi kwako ni sawa tu ila CDM ni tatizo???
Mbowe ni halali Ana watoto wawili na Joyce Mukya, unataka urasmi gani?Hiyo haiko rasmi bwashee..... Hapa nazungumzia yale mahusiano halali!
Mdee kapindua meza chakula ya mwenye saccos kapiga chini nae katimuliwa ila kaambiwa aombe msamaha watasamehewa.Thread za aina hii zilikuwa zinaletwa zamani sana kabla jamii haijastaarabika, endeleeni, mnachokitafuta mtakipata na zaidi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ashiru na mbunge wa babati je?Najaribu tu kuwakumbusha wale wanaomwandama Mbowe kwamba aliwanyanyasa kijinsia baadhi ya wabunge wa viti maalumu Chadema. Kiukweli mnamuonea bure kabisa mwenyekiti.