johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
- Thread starter
- #21
Joyce ni kama Maselle tu walidandia fursa kwa mbele!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Joyce ni kama Maselle tu walidandia fursa kwa mbele!
Inahita elimu kujua maana ya Wabunge wa Viti Maalum?1. Anna Abdallah vs Spika Mstaafu
2. Bulembo vs bint yake
3. Magret Sita vs Spika Marehemu
4. Mama Salama vs Rais Mstaafu
5.
6.
Labda waliiga huku
Mzee uko wapi Wewe? Hayo mahusiano ni rasmi kabisa watu mpaka wamezaa watoto wawili. Huyo demu alishindwa kura za maoni Arusha 2015 jamaa akapiga simu moja tu matokeo yakapinduliwa.Hiyo haiko rasmi bwashee..... Hapa nazungumzia yale mahusiano halali!
Ridhiwan na mamaye aah mbona CCM wamo wengi sana.Najaribu tu kuwakumbusha wale wanaomwandama Mbowe kwamba aliwanyanyasa kijinsia baadhi ya wabunge wa viti maalumu Chadema. Kiukweli mnamuonea bure kabisa mwenyekiti.
Utaratibu wa kuwapata wabunge wa viti maalumu umekuwa na sintofahamu tokea chama hicho kiasisiwe.
Nitoe mifano michache ya wabunge waliokuwa na uhusiano na viongozi wa Chadema na wakateuliwa kutumikia viti maalumu
Katibu mkuu Dr Slaa na " mama watoto" wake Rose Kamili
Naibu Katibu mkuu Zitto Kabwe na dada yake
Mwanasheria wa Chama mzee Marando na shemejie Chiku Abwao
Mjumbe wa CC/mwanasheria Tundu Lisu na dada yake rip
Mjumbe wa CC Ndesamburo rip na mkwewe Grace
Mjumbe wa CC Ndesamburo rip na mwanae Owenya
Katika mazingira kama hayo anayelalamika anapaswa kuzungumzia mfumo mzima na siyo kumsimanga Mbowe ambaye hajampa ubunge ndugu yake yoyote.
Kama huna mtu wa kukubeba basi ni lazima utatumia mbinu za ziada kwahiyo unapolialia baadae ni kwamba ama unajidharirisha au unatangaza biashara kwa chama chako kipya.
Maendeleo hayana vyama!
Kama mwenyekiti anaruhusu haya yanakea nani atamwamini..??Najaribu tu kuwakumbusha wale wanaomwandama Mbowe kwamba aliwanyanyasa kijinsia baadhi ya wabunge wa viti maalumu Chadema. Kiukweli mnamuonea bure kabisa mwenyekiti.
Utaratibu wa kuwapata wabunge wa viti maalumu umekuwa na sintofahamu tokea chama hicho kiasisiwe.
Nitoe mifano michache ya wabunge waliokuwa na uhusiano na viongozi wa Chadema na wakateuliwa kutumikia viti maalumu
Katibu mkuu Dr Slaa na " mama watoto" wake Rose Kamili
Naibu Katibu mkuu Zitto Kabwe na dada yake
Mwanasheria wa Chama mzee Marando na shemejie Chiku Abwao
Mjumbe wa CC/mwanasheria Tundu Lisu na dada yake rip
Mjumbe wa CC Ndesamburo rip na mkwewe Grace
Mjumbe wa CC Ndesamburo rip na mwanae Owenya
Katika mazingira kama hayo anayelalamika anapaswa kuzungumzia mfumo mzima na siyo kumsimanga Mbowe ambaye hajampa ubunge ndugu yake yoyote.
Kama huna mtu wa kukubeba basi ni lazima utatumia mbinu za ziada kwahiyo unapolialia baadae ni kwamba ama unajidharirisha au unatangaza biashara kwa chama chako kipya.
Maendeleo hayana vyama!
Bora mahusiano halali hayana rushwa ya ngono kuliko haya haramu yenye rushwa ya ngono.Hiyo haiko rasmi bwashee..... Hapa nazungumzia yale mahusiano halali!
Bora mahusiano halali hayana rushwa ya ngono kuliko haya haramu yenye rushwa ya ngono.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kheee.......hiyo naisikia kwako bwashee japo najua Lipumba alikuwa na mke wa kichagga pale Sinza!
Nimekuelewa bwashee!
Sorry nilimaanisha Magdalena Sakaya nimechanganya jinaKheee.......hiyo naisikia kwako bwashee japo najua Lipumba alikuwa na mke wa kichagga pale Sinza!
Hapo sasa ndio umeeleweka bwashee!
Twende na ACT kwasasa, CCM miaka 60 wanazurula tu hawajui watanzania tunataka nini, chadema wanagawa ubunge kama urithi.. [emoji3525][emoji3525][emoji3525]Nimekuelewa bwashee!
Hii sasa kesi, JF haiwezi kukutetea.
ACT wazalendo wako kiimani zaidi!Twende na ACT kwasasa, CCM miaka 60 wanazurula tu hawajui watanzania tunataka nini, chadema wanagawa ubunge kama urithi.. [emoji3525][emoji3525][emoji3525]
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiritimba wa CCM na chadema kwasasa hapana kwakweli..?! Mbunge anamiliki bunduki 20.. [emoji23][emoji23][emoji23]ACT wazalendo wako kiimani zaidi!
Huko uliko mbunge anamiliki msikiti.....ni jambo jema!Ukiritimba wa CCM na chadema kwasasa hapana kwakweli..?! Mbunge anamiliki bunduki 20.. [emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbunge wangu wa hapa kishapu....Huko uliko mbunge anamiliki msikiti.....ni jambo jema!
Huyo wa CCM ya zamani?!!