Angalieni mpira wa Al Ahly vs Mamelodi halafu turudishe picha kwenye mchezo wa Vipers vs Simba, tuwe serious jamani

Angalieni mpira wa Al Ahly vs Mamelodi halafu turudishe picha kwenye mchezo wa Vipers vs Simba, tuwe serious jamani

Al ahly ameshakufa bao 1 had ss ila unaangalia mpira unainjoy, mpira uliochezwa na Simba Leo halafu unaambiwa malengo ni nusu final, unabaki kushangaa na kujiuliza kama kweli tuko serious.

Kwa.mpira ule naamini Raja anakwenda kutuadhibu dazeni ya magoli kwao
Leo ni Ligi ya Mabingwa, nyie wa shirikisho subirini kesho badala ya kuanzisha nyuzi kifala 🤣🤣 🤣
 
Kwani utopolo mtakutana na Raja? Labda tuwakumbushe, Raja, Simba, Vipers, Horoya, Mamelodi, Al Ahly, Al Hilal, Vita, Petro Atletico na wateule wachache wanacheza ligi ya mabingwa sio shirikisho
Katika hao uliowataja kuna ambao hadi kombe wanalo huku wengine wasindikizaji bora
 
Al ahly ameshakufa bao 1 had ss ila unaangalia mpira unainjoy, mpira uliochezwa na Simba Leo halafu unaambiwa malengo ni nusu final, unabaki kushangaa na kujiuliza kama kweli tuko serious.

Kwa.mpira ule naamini Raja anakwenda kutuadhibu dazeni ya magoli kwao
Unashangaa nini,we tulia malengo ndiyo muongozo wetu
 
Ko unataka kufafanisha maswandana au ahly na simba,we kweli juha!!
 
Leo ni Ligi ya Mabingwa, nyie wa shirikisho subirini kesho badala ya kuanzisha nyuzi kifala [emoji1787][emoji1787] [emoji1787]
We una kombe gani katika hiyo ligi ya Mabingwa wa Africa?

Kweli Aden Rage ajengewe sanamu lake kila kona ya dunia maana si kwa umbumbumbu huu [emoji16]

Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
 
Leo ni Ligi ya Mabingwa, nyie wa shirikisho subirini kesho badala ya kuanzisha nyuzi kifala 🤣🤣 🤣
Nyuzi za kifala au unaambiwa kulingana na kiwango cha timu yako kilivyo, timu inacheza utadhani ni Maji maji ya songea, kwa mpira huu mtegemeeni sana mungu vinginevyo mtaadhirika
 
Back
Top Bottom