Angalieni mpira wa Al Ahly vs Mamelodi halafu turudishe picha kwenye mchezo wa Vipers vs Simba, tuwe serious jamani

Angalieni mpira wa Al Ahly vs Mamelodi halafu turudishe picha kwenye mchezo wa Vipers vs Simba, tuwe serious jamani

Hawa mamelodi group stage nawaona wako vizuri ikifika knockout mambo hayaendi vizuri wakati unaona kabisa wana timu ya kuifunga timu yoyote afrika, Kuna mahali Hawa wanashindwa kucheza vizuri hatua za mitoano, hii timu...
 
Al Ahly ameshakufa bao 1 had sasa, ila unaangalia mpira unainjoy, mpira uliochezwa na Simba leo halafu unaambiwa malengo ni nusu fainali, unabaki kushangaa na kujiuliza kama kweli tuko serious.

Kwa mpira ule naamini Raja anakwenda kutuadhibu dazeni ya magoli kwao.
Hujui mpira ndugu kwani lini simba alicheza na ali ahly ikiwa mbovu na hakuifunga.
 
Al Ahly ameshakufa bao 1 had sasa, ila unaangalia mpira unainjoy, mpira uliochezwa na Simba leo halafu unaambiwa malengo ni nusu fainali, unabaki kushangaa na kujiuliza kama kweli tuko serious.

Kwa mpira ule naamini Raja anakwenda kutuadhibu dazeni ya magoli kwao.
Sisi tunataka point tisa tu maana kwenye kundi raja atashinda mechi zote sita
 
Mamelod wapewe kombe lao .
Msimu uliopita walikua ivyo ivyo ila mosimane akawaambia tu michuano haijaanza subiri muingie robo fainali huko ndio rasmi michuano inaanza sasa....uliza kilichowakuta kwa wale waangola
 
Kwani utopolo mtakutana na Raja? Labda tuwakumbushe, Raja, Simba, Vipers, Horoya, Mamelodi, Al Ahly, Al Hilal, Vita, Petro Atletico na wateule wachache wanacheza ligi ya mabingwa sio shirikisho
Kolo ni bingwa wa ligi ya inchi gani?
 
Nimeangalia mpira wa simba na vipers nilikuwa kibanda umiza yaani sikuona mpira timu zote zilikuwa tu zinafanya mikimbio ya huku na huku yaani Afrika mashariki tuna safari ndefu Sana ya soka .Leo nitaenda Tena kibanda umiza kuwaona yanga nao wanafanya nn.
Al Ahly ameshakufa bao 1 had sasa, ila unaangalia mpira unainjoy, mpira uliochezwa na Simba leo halafu unaambiwa malengo ni nusu fainali, unabaki kushangaa na kujiuliza kama kweli tuko serious.

Kwa mpira ule naamini Raja anakwenda kutuadhibu dazeni ya magoli kwao.
 
Juzi tumefungwa na raja tukaambiwa wabovu tumeoza, tumeshinda tunaambiwa mifano ya timu zingine kama vile watu hawakutuona tukizifungaga.WATANZANIA NI WACHAWI.(inaonekana kama utanzania ni uchawi tayari)Yanga kashinda juzi wakasema mazembe imeoza, eti haina hata mchezaji mmoja timu ya taifa, ikishinda tena leo utasikia kombe la loosers.WAKIFUNGWA UTASIKIA TULISEMA MECHI YA MAZEMBE WALIOTEOA kama wasemavyo kwamba simba ilicheza na wapinzani dhaifu.MAENDELEO TANZANIA YATABAKIA KAMA MILANGO YA BAJAJI MAANA HAZINA MILANGO.
 
Nyuzi za kifala au unaambiwa kulingana na kiwango cha timu yako kilivyo, timu inacheza utadhani ni Maji maji ya songea, kwa mpira huu mtegemeeni sana mungu vinginevyo mtaadhirika
Wa utopolo mzuri uliishia wapi hadi kushiriki kombe la loosers?
 
Al Ahly ameshakufa bao 1 had sasa, ila unaangalia mpira unainjoy, mpira uliochezwa na Simba leo halafu unaambiwa malengo ni nusu fainali, unabaki kushangaa na kujiuliza kama kweli tuko serious.

Kwa mpira ule naamini Raja anakwenda kutuadhibu dazeni ya magoli kwao.
Tatizo lako,siliiti changamoto,unaangalia mambo huku umetanguliza chuki.Mimi siwezi kukukataza uache hiyo tabia uliyojifunza kwa hiyari yako.Imeanza kuwa "the in-born character"!Kuitoa ni ngumu na usipokuwa makini kizazi chako kinarithi.Hii ni kama kweli una kizazi.
 
NEO MAEMA = akaminko+Fei+ Aucho+sureboy

PETER SHALULILE=Mayele+Musonda+baleke
 
Back
Top Bottom