mjasiliaupeo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2013
- 2,162
- 3,088
Mbona last time alitolewa na wa angola?Wajanja au Wazee wa figisu nyingi nnje ya uwanja sababu ya utajiri wa mafuta? [emoji1]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona last time alitolewa na wa angola?Wajanja au Wazee wa figisu nyingi nnje ya uwanja sababu ya utajiri wa mafuta? [emoji1]
Sent from my CPH2387 using JamiiForums mobile app
Hujui mpira ndugu kwani lini simba alicheza na ali ahly ikiwa mbovu na hakuifunga.Al Ahly ameshakufa bao 1 had sasa, ila unaangalia mpira unainjoy, mpira uliochezwa na Simba leo halafu unaambiwa malengo ni nusu fainali, unabaki kushangaa na kujiuliza kama kweli tuko serious.
Kwa mpira ule naamini Raja anakwenda kutuadhibu dazeni ya magoli kwao.
Wengine hsta kusindikiza hawasindikizi na hata hilo kombe walilopo wao wasindikizaji walifikaga fainali.Katika hao uliowataja kuna ambao hadi kombe wanalo huku wengine wasindikizaji bora
Sisi tunataka point tisa tu maana kwenye kundi raja atashinda mechi zote sitaAl Ahly ameshakufa bao 1 had sasa, ila unaangalia mpira unainjoy, mpira uliochezwa na Simba leo halafu unaambiwa malengo ni nusu fainali, unabaki kushangaa na kujiuliza kama kweli tuko serious.
Kwa mpira ule naamini Raja anakwenda kutuadhibu dazeni ya magoli kwao.
Msimu uliopita walikua ivyo ivyo ila mosimane akawaambia tu michuano haijaanza subiri muingie robo fainali huko ndio rasmi michuano inaanza sasa....uliza kilichowakuta kwa wale waangolaMamelod wapewe kombe lao .
Hana tofauti na Simba huyoMamelodi pamoja na moto wao miaka mitatu mfululizo anatoka robo fainali
Kolo ni bingwa wa ligi ya inchi gani?Kwani utopolo mtakutana na Raja? Labda tuwakumbushe, Raja, Simba, Vipers, Horoya, Mamelodi, Al Ahly, Al Hilal, Vita, Petro Atletico na wateule wachache wanacheza ligi ya mabingwa sio shirikisho
Al Ahly ameshakufa bao 1 had sasa, ila unaangalia mpira unainjoy, mpira uliochezwa na Simba leo halafu unaambiwa malengo ni nusu fainali, unabaki kushangaa na kujiuliza kama kweli tuko serious.
Kwa mpira ule naamini Raja anakwenda kutuadhibu dazeni ya magoli kwao.
Basi anzisha uzi tena wa Aden Rage 🤣We una kombe gani katika hiyo ligi ya Mabingwa wa Africa? Kweli Aden Rage ajengewe sanamu lake kila kona ya dunia maana si kwa umbumbumbu huu
bila kuwasahau waanzisha nyuzi nao pia wanalo kombe 🤣🤣 🤣Katika hao uliowataja kuna ambao hadi kombe wanalo huku wengine wasindikizaji bora
Wa utopolo mzuri uliishia wapi hadi kushiriki kombe la loosers?Nyuzi za kifala au unaambiwa kulingana na kiwango cha timu yako kilivyo, timu inacheza utadhani ni Maji maji ya songea, kwa mpira huu mtegemeeni sana mungu vinginevyo mtaadhirika
Hivi huwa mnashindwa nini kutofautisha 'losers' na 'loosers'?Wa utopolo mzuri uliishia wapi hadi kushiriki kombe la loosers?
Tatizo lako,siliiti changamoto,unaangalia mambo huku umetanguliza chuki.Mimi siwezi kukukataza uache hiyo tabia uliyojifunza kwa hiyari yako.Imeanza kuwa "the in-born character"!Kuitoa ni ngumu na usipokuwa makini kizazi chako kinarithi.Hii ni kama kweli una kizazi.Al Ahly ameshakufa bao 1 had sasa, ila unaangalia mpira unainjoy, mpira uliochezwa na Simba leo halafu unaambiwa malengo ni nusu fainali, unabaki kushangaa na kujiuliza kama kweli tuko serious.
Kwa mpira ule naamini Raja anakwenda kutuadhibu dazeni ya magoli kwao.
Hakuna team haipo ata Clabbingwa wala shirikishokuna ES tunis
UongoPetro Luanda ana utajiri gani wa mafuta ?
Mara nyingi wanaomtoa mamelodi ni weusi wenzake