Yimakatso
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 7,060
- 9,468
Kwamba hujui Angola ni mojawapo ya mataifa tajiri kwa mafuta Afrika?Petro Luanda ana utajiri gani wa mafuta ?
Mara nyingi wanaomtoa mamelodi ni weusi wenzake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba hujui Angola ni mojawapo ya mataifa tajiri kwa mafuta Afrika?Petro Luanda ana utajiri gani wa mafuta ?
Mara nyingi wanaomtoa mamelodi ni weusi wenzake
Mpira umebadilika sana. Na wewe kasi ya mabadiliko imekuacha.Al Ahly ameshakufa bao 1 had sasa, ila unaangalia mpira unainjoy, mpira uliochezwa na Simba leo halafu unaambiwa malengo ni nusu fainali, unabaki kushangaa na kujiuliza kama kweli tuko serious.
Kwa mpira ule naamini Raja anakwenda kutuadhibu dazeni ya magoli kwao.
Maoni yakoNEO MAEMA = akaminko+Fei+ Aucho+sureboy
PETER SHALULILE=Mayele+Musonda+baleke
Ile style ya kombe la dunia kuongezwa mpaka dakika 10 iwekwe tu kwenye soka letu la afrika.....Ila Al Ahly Wana figisu sana, wakat Mamelod wanaongoza goli moja ilikuwa mchezaji wa Mamelod akiumia wanakuja wale jamaa wa machela mbio mbio unabebwa mzobe mzobe unaenda nje ya uwanja ma Dr watakukuta huko sasa baada ya kusawazisha na kuwa mbele kwa magoli ma 2 ikawa mchezaji wa timu pinzani akiumia unawaona ma Dr ndio wanaingia uwanjani kwenda kumtibia mchezaji ila watu wa machela mpaka waitwe na refa ndio waingie tena wanatembea taratiiibu.