Angalieni mpira wa Al Ahly vs Mamelodi halafu turudishe picha kwenye mchezo wa Vipers vs Simba, tuwe serious jamani

Angalieni mpira wa Al Ahly vs Mamelodi halafu turudishe picha kwenye mchezo wa Vipers vs Simba, tuwe serious jamani

Al Ahly ameshakufa bao 1 had sasa, ila unaangalia mpira unainjoy, mpira uliochezwa na Simba leo halafu unaambiwa malengo ni nusu fainali, unabaki kushangaa na kujiuliza kama kweli tuko serious.

Kwa mpira ule naamini Raja anakwenda kutuadhibu dazeni ya magoli kwao.
Mpira umebadilika sana. Na wewe kasi ya mabadiliko imekuacha.

Kwa Sasa timu Ni mbovu km haipati matokeo. Si Aina ya mpira wanaocheza.

Watu wanabutua wanamiliki kwa asilimia 30 Halafu wewe na asilimia zako 70 unapigwa hata goli 4.

Hii ndiyo inaitwa MOURNHO EFFECT.

Wewe uko kwa akili za kuupiga mwingi. Point 3 ndiyo muhimu.

Mengine unayoona sio bahati mbaya Ni mipango ya kocha.
 
Kila mechi ina game plan,hata ukiangalia mpira anaocheza simba na al ahly ni tofauti anavyocheza na Vipers
 
Ila Al Ahly Wana figisu sana, wakat Mamelod wanaongoza goli moja ilikuwa mchezaji wa Mamelod akiumia wanakuja wale jamaa wa machela mbio mbio unabebwa mzobe mzobe unaenda nje ya uwanja ma Dr watakukuta huko sasa baada ya kusawazisha na kuwa mbele kwa magoli ma 2 ikawa mchezaji wa timu pinzani akiumia unawaona ma Dr ndio wanaingia uwanjani kwenda kumtibia mchezaji ila watu wa machela mpaka waitwe na refa ndio waingie tena wanatembea taratiiibu.
 
Ile style ya kombe la dunia kuongezwa mpaka dakika 10 iwekwe tu kwenye soka letu la afrika.....
 
Back
Top Bottom