Uchaguzi 2020 ANGALIZO: 28/10/2020 tumchague Rais anayeshaurika na anayetimiza matakwa ya Wananchi

Maswali ya usaliti wa Nchi aulizwe lissu
Lissu hata jutia ,Mana atatuletea katiba mpya , na tume huru, Iyo avatar naona Kama ni ya my life my purpose, Fanya mambo aliyokiri kukosea mzee huyo kwa avatar, otherwise weka picha nyingine tu, ili uyasemayo yaweyanaendana na uhalisia.
 
Pia rais anaejiamini sio kufunga mabarabara ya pale Ikulu kuogopaogopa anatuletea usumbufu sana wananchi kuzunguzunguka anafanya barabara kama mali zake binafsi yani nna hamu nae mimi huyu $%##@@*&&&&...

Tukutane tr 28 October
Huyu mwisho wake 28/10/2020. Hachomoki!
 
Aliwatetea Mabeberu yatuibie madini yetu ila Mzalendo Magufuli Rais akatutetea

Ana laana huyo lissu

Hivi akili yako ina akili kweli umeona mkataba wa madini wa 2015 na wa 2017 huo uliosainiwa upya kwa akili yako nan msaliti au nani amewapa wazungu madin kuna mda inabidi ww na chama chako mjitafakari watanzania wote sio wajinga mpk BBC ina waumbua hovyo kabsa ukifikiria tumbo utazidi kuwa mtumwa wa fikra ila ukiwaza kwa akili utajikomboa ww na familia yako n ukoo wako
 
Hahaha! Mtamponza arudi Chato kwa miisifa mnayomwagia
Sisi tunajiamini buana
John Pombe Magufuli tunampa 5 tena, wakija tena corona awaambie tutapiga nyungu na wakija na lockdown atukimbize tukachape kazi
Hivyo tuu yaani😁
 
Tusimchague rais ambaye akiyapata madaraka anachukia ushauri na kuona kama kumshauri ni kuingilia Uhuru wake.

Rais anapaswa kujua kwamba yupo madarakani kuyatimiza yale ambayo wananchi wanataka, siyo yale anayotaka yeye.

28/10/2020 imekaribia sana, ndugu Watanzania tusifanye makosa.

View attachment 1595370

Hashim rungwe tu
 
Hivi akili yako ina akili kweli umeona mkataba wa madini wa 2015 na wa 2017 huo uliosainiwa upya kwa akili yako nan msaliti au nani amewapa wazungu madin kuna mda inabidi ww na chama chako mjitafakari watanzania wote sio wajinga mpk BBC ina waumbua hovyo kabsa ukifikiria tumbo utazidi kuwa mtumwa wa fikra ila ukiwaza kwa akili utajikomboa ww na familia yako n ukoo wako
Ukishamaliza kumsikiliza huyo kibaraka Zuhura Yunus, umsikilize waziri husika. Usiporidhika nenda wizarani kaombe documents uone na kama haitoshi kawaone barrick watakupa maelezo. Kushikiliwa akili sio powa
 
Lissu ndio Aliwatetea Mabeberu yatuibie madini yetu
Tushukuru Rais Magufuli akatutetea sasa tunafaidika na madini yetu

Huu Usaliti alioufanya lissu utamtafuna na kizazi chake
Hivi akili yako ina akili kweli umeona mkataba wa madini wa 2015 na wa 2017 huo uliosainiwa upya kwa akili yako nan msaliti au nani amewapa wazungu madin kuna mda inabidi ww na chama chako mjitafakari watanzania wote sio wajinga mpk BBC ina waumbua hovyo kabsa ukifikiria tumbo utazidi kuwa mtumwa wa fikra ila ukiwaza kwa akili utajikomboa ww na familia yako n ukoo wako
 
Ukishamaliza kumsikiliza huyo kibaraka Zuhura Yunus, umsikilize waziri husika. Usiporidhika nenda wizarani kaombe documents uone na kama haitoshi kawaone barrick watakupa maelezo. Kushikiliwa akili sio powa

Tuache ushabiki wa vyama tuweke mustakabali wataifa mbele sijawai kuwa mtumwa wa fikra wala kulamba viatu kisa chama au mtu nitasimamia kile nachokiamini na ntaamini kile nachosimamia amini unacho amini na mm ni amini ninacho amini .
 
Chadema itajuta kumsimamisha msaliti wa Nchi
Msaliti wa Nchi atapigiwa kura na robert
Lissu hata jutia ,Mana atatuletea katiba mpya , na tume huru, Iyo avatar naona Kama ni ya my life my purpose, Fanya mambo aliyokiri kukosea mzee huyo kwa avatar, otherwise weka picha nyingine tu, ili uyasemayo yaweyanaendana na uhalisia.
 
Tuache ushabiki wa vyama tuweke mustakabali wataifa mbele sijawai kuwa mtumwa wa fikra wala kulamba viatu kisa chama au mtu nitasimamia kile nachokiamini na ntaamini kile nachosimamia amini unacho amini na mm ni amini ninacho amini .
Kusimamia kile unachokiamini ni jambo jema sana kama utakua na uhakika ndicho kitu sahihi vinginevyo fanya utafiti ujiridhishe uko sahihi. Bila utafiti wa kutosha unawezajikuta unasimamia kitu ninachokifanya kuonekana usiekua na uelewa katika jamii
 
Attachments

  • 2020-10-03 11.21.32.png
    2020-10-03 11.21.32.png
    1,017.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom