Angalizo:Form Six wamemaliza mitihani yao mada zisizo na kichwa wala miguu zitajaa humu

Mkuu kama huyo alie kwenye picha ni wewe basi mbona ni walewale unaowazungumzia
 
Kwanza umeweka avatar ya picha yako kitu ambacho hakuna mtu mzima anaweza fanya humu zaidi ya lemutuz.

Pili uandishi na muonekano wako vinafanana kabisa na mwanafunzi kama sio wa secondary basi chuo.ni assumptions tu lakini
 
Mkuu uko sahihi kuna mmoja juzi kajiunga kwa jina la najua kusoma ameanzisha uzi wa udhalilishaji dhidi ya akina mama wanaojifungua kisha wakaongezewa njia ya uzazi the way alovyoileta hiyo thread yaan upuuz mtupu kwan nadhan yuko na tatizo flaan
 
Hapo ndo wanaanza anza swahiba ngoja mambo yachanganye uone balaa lake.
 
Sure[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…