Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwa nini?Mkuu kama huyo alie kwenye picha ni wewe basi mbona ni walewale unaowazungumzia
Nakumbuka nilipo maliza skuli ,nilileta Mada za ajab Sana jf, hahahaWapi huko swahiba?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nakumbuka nilipo maliza skuli ,nilileta Mada za ajab Sana jf, hahaha
Mwezi wa 10 ,vyuo vingine mwezi wa 11leo mi ndo nimemaliza mtihani wangu wa form six,eti chuo tunaenda lini? 🙁🙁🙁
na boom,tunapata lini?🙁🙁🙁Mwezi wa 10 ,vyuo vingine mwezi wa 11
😡😡😡😡😕Utasikia Mara wale tuliosoma sijui wapi tukutane hapa. Hahaaa
Wanakujaga kwa kasi hao [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila wakipata tu chuo huwaoni tena humu jukwaani wengine mpaka nywila zao wanazisahauUtasikia Mara wale tuliosoma sijui wapi tukutane hapa. Hahaaa
Hapo ndo wanaanza anza swahiba ngoja mambo yachanganye uone balaa lake.Mkuu uko sahihi kuna mmoja juzi kajiunga kwa jina la najua kusoma ameanzisha uzi wa udhalilishaji dhidi ya akina mama wanaojifungua kisha wakaongezewa njia ya uzazi the way alovyoileta hiyo thread yaan upuuz mtupu kwan nadhan yuko na tatizo flaan
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hatimae bwana Hasan kabadili avatar
Umenichekesha sana mkuu kha huu uzi una mamboWanakujaga kwa kasi hao [emoji23] [emoji23] [emoji23] ila wakipata tu chuo huwaoni tena humu jukwaani wengine mpaka nywila zao wanazisahau
Sure[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Wakuu naomba nitoe angalizo mapema hasa kwa wale ambao hawachelewi kutoa povu
Hawa wadogo zetu wa kidato cha sita wamemaliza pepa zao hivyo muwavumilie tu mpaka mwezi wa kumi watakapoenda vyuoni maana humu ndani watatujazia mada zisizokuwa na kichwa wala miguu kiasi kwamba mtu usiyeweza kujizuia hasira utakuwa kila siku mtu wa kulambwa ban maana kuna mada huwa zinakarahisha sana ukizisoma.
Tegemeeni mada za kutafuta wachumba humu zikijaa ,mada za tuliosoma PCM,PCB ECA,HKL etc tukutane hapa.
Tegemeeni mada za kushindanishwa vyuo humu zikijaa,etc.