nawe unataka umtapeli tena kijana wa watuNitafute nikupeleke kwa Mganga mmoja hivi huko Malinyi Morogoro kisha huyo Jamaa salamu yako ataipata na pengine siyo Yeye tu bali hata Familia yake au Ukoo wake wote. Wewe Mganga kila akikatisha Mto kwenda Ng'ambo ya Pili Mamba wote wakali na wenye Njaa waliopo hapo Mtoni huwa wanamkimbia sasa vipi akisema akutengenezee Dawa yake ya ' Kumuadabisha ' Mtu?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Namimi nashangaa! Wote tuna nyumba zetu na usafiri, wengi hatutumii tecno, anatudhalilisha huyu.
hahaa huyu ana dhamira ya kutudhalilisha tu " hakuna jingine " members wa humu sote tuna magari yetu ya maana tu " tunaanzaje kuhangaika na vijisimu aiseeSi member wa humu kila mtu ana kazi nzuri tu na smart phone .inakuaje akakuibia
Lmfao ..pole sana " kweli walimwengu wabayahaina haja ya ivoo .. Niko nafanya mpango niwasilian na ndugu walau nipate nauli ya kurud arusha
wapi kashata "!!!?Chai
swali la kizushi:Nitafute nikupeleke kwa Mganga mmoja hivi huko Malinyi Morogoro kisha huyo Jamaa salamu yako ataipata na pengine siyo Yeye tu bali hata Familia yake au Ukoo wake wote. Wewe Mganga kila akikatisha Mto kwenda Ng'ambo ya Pili Mamba wote wakali na wenye Njaa waliopo hapo Mtoni huwa wanamkimbia sasa vipi akisema akutengenezee Dawa yake ya ' Kumuadabisha ' Mtu?
Hujaambiwa na bibi nilivyo bahili, natembelea Phoenix ya babu mara moja moja sana natumia T 11 kwa safari fupi!.. Mnichangie basi na mie nipate kagari.hahaa huyu ana dhamira ya kutudhalilisha tu " hakuna jingine " members wa humu sote tuna magari yetu ya maana tu " tunaanzaje kuhangaika na vijisimu aisee
daaahh Ile Nissan navara yako umeiuza "?Hujaambiwa na bibi nilivyo bahili, natembelea Phoenix ya babu mara moja moja sana natumia T 11 kwa safari fupi!.. Mnichangie basi na mie nipate kagari.
Umenichanganya na nani?.. castr!daaahh Ile Nissan navara yako umeiuza "?
kun siku niliposti uzi wa kuomba kaz akatokea mtuu akaniambia niende dar afu nilivoenda akanipora simu akakimbia akawa anawambia wamtumie ellaa...
sasa basii nikutakie tyu maisha mema Kwa yatakayo kukuta
kun siku niliposti uzi wa kuomba kaz akatokea mtuu akaniambia niende dar afu nilivoenda akanipora simu akakimbia akawa anawambia wamtumie ellaa...
sasa basii nikutakie tyu maisha mema Kwa yatakayo kukuta
bro acha kujikuta kibopaNamimi nashangaa! Wote tuna nyumba zetu na usafiri, wengi hatutumii tecno, anatudhalilisha huyu.