radicals
JF-Expert Member
- Nov 7, 2016
- 4,411
- 6,473
nawe unataka umtapeli tena kijana wa watuNitafute nikupeleke kwa Mganga mmoja hivi huko Malinyi Morogoro kisha huyo Jamaa salamu yako ataipata na pengine siyo Yeye tu bali hata Familia yake au Ukoo wake wote. Wewe Mganga kila akikatisha Mto kwenda Ng'ambo ya Pili Mamba wote wakali na wenye Njaa waliopo hapo Mtoni huwa wanamkimbia sasa vipi akisema akutengenezee Dawa yake ya ' Kumuadabisha ' Mtu?