angalizo kwa aliyehusika na hii kitendo

angalizo kwa aliyehusika na hii kitendo

Nitafute nikupeleke kwa Mganga mmoja hivi huko Malinyi Morogoro kisha huyo Jamaa salamu yako ataipata na pengine siyo Yeye tu bali hata Familia yake au Ukoo wake wote. Wewe Mganga kila akikatisha Mto kwenda Ng'ambo ya Pili Mamba wote wakali na wenye Njaa waliopo hapo Mtoni huwa wanamkimbia sasa vipi akisema akutengenezee Dawa yake ya ' Kumuadabisha ' Mtu?
nawe unataka umtapeli tena kijana wa watu
 
Write your reply...Hahaaa hayo yametokea kwa members wa humu humu JF au ""?
 
Si member wa humu kila mtu ana kazi nzuri tu na smart phone .inakuaje akakuibia
hahaa huyu ana dhamira ya kutudhalilisha tu " hakuna jingine " members wa humu sote tuna magari yetu ya maana tu " tunaanzaje kuhangaika na vijisimu aisee
 
Nitafute nikupeleke kwa Mganga mmoja hivi huko Malinyi Morogoro kisha huyo Jamaa salamu yako ataipata na pengine siyo Yeye tu bali hata Familia yake au Ukoo wake wote. Wewe Mganga kila akikatisha Mto kwenda Ng'ambo ya Pili Mamba wote wakali na wenye Njaa waliopo hapo Mtoni huwa wanamkimbia sasa vipi akisema akutengenezee Dawa yake ya ' Kumuadabisha ' Mtu?
swali la kizushi:
Kwanini kuanzia Mang'ula, kiberege, Zignal, ifakara, Mtimbila mpaka Mahenge/Malinyi kuna vichaa wengi vile!?.🙂
 
hahaa huyu ana dhamira ya kutudhalilisha tu " hakuna jingine " members wa humu sote tuna magari yetu ya maana tu " tunaanzaje kuhangaika na vijisimu aisee
Hujaambiwa na bibi nilivyo bahili, natembelea Phoenix ya babu mara moja moja sana natumia T 11 kwa safari fupi!.. Mnichangie basi na mie nipate kagari.
 
daaahh Ile Nissan navara yako umeiuza "?
 
Mkuu kama huyo mtu alichukua namba yako probably mliwasiliana kwa simu, namba yake iko wapi? Unaondoka huko mkoani kwenu kwenda Dar bila kutaarifu wenzio kuhusu unapofikia na atayekupokea.
Chungu kitakurudia pia kwa uzembe huo.
 
kun siku niliposti uzi wa kuomba kaz akatokea mtuu akaniambia niende dar afu nilivoenda akanipora simu akakimbia akawa anawambia wamtumie ellaa...

sasa basii nikutakie tyu maisha mema Kwa yatakayo kukuta

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kumbe ushanunua nyingine
 
"Wanachapa mpaka ndala kwenye nyumba za ibada"-Fa
Kaisikilize tena ile ngoma ya usije mjini utaelewa tu kua mjini sio kuzuri.
 
kun siku niliposti uzi wa kuomba kaz akatokea mtuu akaniambia niende dar afu nilivoenda akanipora simu akakimbia akawa anawambia wamtumie ellaa...

sasa basii nikutakie tyu maisha mema Kwa yatakayo kukuta

Weka jina lake hadharani hapa
 
Back
Top Bottom