angalizo kwa aliyehusika na hii kitendo

angalizo kwa aliyehusika na hii kitendo

kingzard

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
636
Reaction score
809
kun siku niliposti uzi wa kuomba kaz akatokea mtuu akaniambia niende dar afu nilivoenda akanipora simu akakimbia akawa anawambia wamtumie ellaa...

sasa basii nikutakie tyu maisha mema Kwa yatakayo kukuta
 
Pole sana. Kumbuka kila siku tunaingia darasani kwa style tofauti tofauti. Ila amini nakwambia siku nyingine usiamini kila mtu pasi na uthibitisho
 
Nitafute nikupeleke kwa Mganga mmoja hivi huko Malinyi Morogoro kisha huyo Jamaa salamu yako ataipata na pengine siyo Yeye tu bali hata Familia yake au Ukoo wake wote. Wewe Mganga kila akikatisha Mto kwenda Ng'ambo ya Pili Mamba wote wakali na wenye Njaa waliopo hapo Mtoni huwa wanamkimbia sasa vipi akisema akutengenezee Dawa yake ya ' Kumuadabisha ' Mtu?
 
Hebu taja huyo member tumjue, ingawa ID ni fake.
 
Nitafute nikupeleke kwa Mganga mmoja hivi huko Malinyi Morogoro kisha huyo Jamaa salamu yako ataipata na pengine siyo Yeye tu bali hata Familia yake au Ukoo wake wote. Wewe Mganga kila akikatisha Mto kwenda Ng'ambo ya Pili Mamba wote wakali na wenye Njaa waliopo hapo Mtoni huwa wanamkimbia sasa vipi akisema akutengenezee Dawa yake ya ' Kumuadabisha ' Mtu?
daaah nisaidie kwend afu nakulipa koz mm natak kuvunja chungu na itamaliza adi familia yake
 
Pole sana. Kumbuka kila siku tunaingia darasani kwa style tofauti tofauti. Ila amini nakwambia siku nyingine usiamini kila mtu pasi na uthibitisho
mkuu ubaya alitumia dawa koz nilivoshika mkon gafla nikabadika ila nampa salam alipa
 
Back
Top Bottom