Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mripoti hapa asiendelee kuwaumiza wengine na kuidhalilisha forumkun siku niliposti uzi wa kuomba kaz akatokea mtuu akaniambia niende dar afu nilivoenda akanipora simu akakimbia akawa anawambia wamtumie ellaa...
sasa basii nikutakie tyu maisha mema Kwa yatakayo kukuta
Namimi nashangaa! Wote tuna nyumba zetu na usafiri, wengi hatutumii tecno, anatudhalilisha huyu.Si member wa humu kila mtu ana kazi nzuri tu na smart phone .inakuaje akakuibia
kun siku niliposti uzi wa kuomba kaz akatokea mtuu akaniambia niende dar afu nilivoenda akanipora simu akakimbia akawa anawambia wamtumie ellaa...
sasa basii nikutakie tyu maisha mema Kwa yatakayo kukuta
daaah nisaidie kwend afu nakulipa koz mm natak kuvunja chungu na itamaliza adi familia yakeNitafute nikupeleke kwa Mganga mmoja hivi huko Malinyi Morogoro kisha huyo Jamaa salamu yako ataipata na pengine siyo Yeye tu bali hata Familia yake au Ukoo wake wote. Wewe Mganga kila akikatisha Mto kwenda Ng'ambo ya Pili Mamba wote wakali na wenye Njaa waliopo hapo Mtoni huwa wanamkimbia sasa vipi akisema akutengenezee Dawa yake ya ' Kumuadabisha ' Mtu?
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji14] [emoji14] [emoji14]tena cha kushangaz kaiba techno ... ni kama mungu alinisaidia tyu cjatembea na hii
Kwani hii ni nini mkuu?tena cha kushangaz kaiba techno ... ni kama mungu alinisaidia tyu cjatembea na hii