Angalizo kwa BOT baada ya riba za mikopo kuanza kushuka

Na kweli tunaye mungu-mtu...yeye ndiye Katiba, yeye ndiye Bunge na yeye ndiye Mahakama. Kuna siku ataamua mvua inyeshe au isinyeshe, mwanga uwepo au usiwepo, upepo uvume au usivume...
Chief punguza chuki na ukada uliopitiliza. Una mkopo wa benki wewe? Maana pengine ungeona cha kujadili kuliko hizo hadithi zenu za kudumu ambazo tungo hubadilika kulingana na aliye madarakani!
 
Chief punguza chuki na ukada uliopitiliza. Una mkopo wa benki wewe? Maana pengine ungeona cha kujadili kuliko hizo hadithi zenu za kudumu ambazo tungo hubadilika kulingana na aliye madarakani!
[emoji16] [emoji16] Hapa sitii neno.
 
Kwanini watu wakisema kweli mnadhani ni chuki!? Acheni upumbavu wa kuhusisha haki ya Watanzania iliyomo ndani ya katiba kuikosoa Serikali na waliomo na chuki.

Chief punguza chuki na ukada uliopitiliza. Una mkopo wa benki wewe? Maana pengine ungeona cha kujadili kuliko hizo hadithi zenu za kudumu ambazo tungo hubadilika kulingana na aliye madarakani!
 
CRDB yapunguza riba, yaongeza muda wa marejesho

Riba ya 17% bado ni ya juu mno! Na kuongeza muda monthly payments will be lower but at end you pay more interest amount.

Peleka ULumumba wako huko. Hoja yako ni nzuri tatizo umeingiza siasa. Rais hana mamlaka ya kuzipangia benki riba... wadanganye wenzako CCM, not others! Rais anajua operating costs za mabenki? acha kumpamba!
 
Thats a good move ya ku improve liquidity mfukoni mwa wafanyakazi
 
Loan interest calculation – Reducing Balance vs Flat Interest Rate

Here is my litle contribution, kuwa elimisha wa Tanzania wenzangu japo kwa kifupi: Ila nitatumia kingereza:

When it comes to comparing loans, the stated loan interest rate does not represent everything, and can in fact be deceiving. Aside from loan interest rates, how loan interest is calculated also plays a huge role in your cost of financing.

There are 2 common methods to calculate loan interest in today’s banking system:

Reducing balance method

Flat/Straight line interest rate method (a.k.a Simple Interest)

Reducing Balance Method

This method is mainly used to calculate the interest payable for housing / mortgage / property loans which you can find at ourhome loan comparison tool and other interest payable such as overdraft (OD) facilities, andcredit cards. You only pay interest on the remaining loan balance. A reducing balance interest calculation formula can be represented like this:

Interest Payable per Installment = Interest Rate per Installment * Remaining Loan Amount

The interest rates quoted for such loans are the Effective Interest Rate, which is the same as the interest rates used for Fixed Deposits (FD) and Savings Accounts.

Flat Interest Rate Method a.k.a Simple Interest

This method is mainly used to calculate the interest payable forpersonal loans and car / hire purchase loans. You pay interest on the entire loan balance throughout the duration of the loan. Flat interest rate calculation formula can be represented like this:

Interest Payable per Installment = (Original Loan Amount * No. of Years * Interest Rate p.a. ) / Number of Installments

This is less desirable for the borrower, because even as you pay down the loan, the interest payable does not decrease. If you have difficulty understanding why, consider what would happen if savings accounts used flat interest rate method.

If you put Tsh.1,200 at 10% p.a. in a savings account and withdraw Tsh.100 every month, the bank would still be paying you Tsh.10 in interest every month even though your principal balance would have reduced to only Tsh.100 by Month 12. How cool is that?

As a rule, flat interest rates range from 1.7-1.9x more when converted into the Effective Interest Rate equivalent. That is the true measure of your cost of financing. You can calculate it yourself, or you can use this Flat to Effective Interest Rate Converter that we've provided for your convenience. Once you've calculated that, you might be intereted in reading our article on Top Tips On How To Pay Back Your Personal Loan to learn the various ways in which you can repay your debt!

Conclusion

When considering a loan product, it is always important to know if it is using the Reducing Balance Method of interest calculation or Flat Interest Rate method. And the best way to compare the true cost of the loan is to convert everything into the Effective Interest Rate equivalent.
Usiki mwema ndugu zangu.
 
Huo ndiyo ukweli halisi Mkuu.

Hiyo Kitu hatari sana...! Hiyo ni 17%, bado commission fee,...na vurugu nyingine...ukija kupiga majumuisho ela utakayo lipa ni karibu asilimia 51.5.
 
Mh kuuumbee [emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Kuunga mkono juhudi za "Mheshimiwa" Rais. We have become slaves in our own country. The man is simply killing the economy. And yet, some people do find words to applaud him.
Banks are simply devising surviving strategies.
 
Umesifia kabla hujasoma mchangiaji matola alivyokuja na uhakikisho wake toka bank ya Akiba. Wanapunguza wafanyakazi kutokana na hasara na misukosuko waliyo nayo kibank. Je hili nalo tusifie?
 
Mi sijaelewa anauaje, maana naskia anajenga viwanda na kunnua bombadia na kutengeneza barabara na treni na vitu viiiiingi sasa anauaje au kuna ishu anafanya nyuma ya pazia
 
Umesifia kabla hujasoma mchangiaji matola alivyokuja na uhakikisho wake toka bank ya Akiba. Wanapunguza wafanyakazi kutokana na hasara na misukosuko waliyo nayo kibank. Je hili nalo tusifie?
Akiba si benki km NBC au, maana NBC inajivunia imeongeza faida je nayo tuiponde?
 
Akiba si benki km NBC au, maana NBC inajivunia imeongeza faida Mje nayo tuiponde?
Wameleta vielelezo vyao umeviona au kwa vile kuna mkono wa nchi ndo wanasema hivyo? Kwanini basi haikopeshi serikali kulipa wafanyakazi wake mafao yao na increments wanazodai?
 
Wameleta vielelezo vyao umeviona au kwa vile kuna mkono wa nchi ndo wanasema hivyo? Kwanini basi haikopeshi serikali kulipa wafanyakazi wake mafao yao na increments wanazodai?
NMB on the other hand hawajaongeza faida yoyote na ni ya serikali, je hapo imekaaje
 
Mi sijaelewa anauaje, maana naskia anajenga viwanda na kunnua bombadia na kutengeneza barabara na treni na vitu viiiiingi sasa anauaje au kuna ishu anafanya nyuma ya pazia
Mkuu, uchumi wa nchi ni kitu Kikubwa au vitu vingi kwa wakati mmoja. Unaweza kujenga SGR ukaja kukosa wa kupanda au kubeba mizigo!
Yameanza kuonekana Kenya. Wanalazimishwa kutumia SGR kasafirisha mizigo.
Jamaa ana very narrow definition ya uchumi.
 
Kenyan sio benchmark, labda tuanzie rwanda palee uchumi haukui fasta fasta nadhan hata wamagharibi walianza kujifunga mkanda na kuchukua watumwa wakaijenge nchi yao, so nadhani kwa upeo wangu ngoja tuone haya maujenzi yanayofanyika yatanufaisha maana sidhan km barabara ya hapa hadi egypt ile haina tija
 
Hakuna benki inayoweza shusha riba ikawa below total cost of production kiasi kwamba faida iwe ya kutafuta na tochi haiwezekani.
Ugumu wa biashara ndiyo umewabana zaidi wakaja na plan B ya kushusha riba.Kwanza kuna pesa benki nyingi wanakera mfano gharama ya mkopo utadhani hawalipwi mshahara.Yaani unawalipa kwa kazi waliyoajiriwa nayo huu ni wizi mkubwa mno.Kuna malipo ya bima ya mkopo wakati benki husika zenyewe zina bima huu ni wizi.Sioni neema yoyote kwasababu ukipiga mahesabu utaona kuwa pesa iliyopungua wanaichukua kwa mfumo mwingine yaani gharama za uendeshaji kama kila mkopo ninanunua bado natozwa riba kila mwezi ukijumlisha ni pesa kubwa mno.
Pesa ya gharama ya mkopo ni kero mno na ni pesa kubwa mno inayomuumiza mkopaji ni vema iondolewe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…