GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Tafadhali hatutaki sasa Kuwaona mkiwa Bungeni hadi pale Kijiwe Majungu chenu Mbezi Beach ( eneo nalihifadhi ) mnaanza kumpiga Majungu Mtu ambaye Kutwa mlikuwa mnamsifu na kumpamba kwa Nguvu zenu zote mlipokuwa Madarakani sawa?
Na nasikia Gwiji lingine litaondoka mwisho wa mwaka au mapema sana mwakani kwani bado anamaliziwa Kujazwa vyema katika 18 ya Mtu.
Imeisha hiyo.......!!
Na nasikia Gwiji lingine litaondoka mwisho wa mwaka au mapema sana mwakani kwani bado anamaliziwa Kujazwa vyema katika 18 ya Mtu.
Imeisha hiyo.......!!