Angalizo kwa Simba: Jwaneng Gallaxy sio team nyepesi kama mnavodhani

Angalizo kwa Simba: Jwaneng Gallaxy sio team nyepesi kama mnavodhani

Simba sina matumaini nayo kwasababu

1. Mpira dhidi ya Asec simba alicheza mpira mbovu saana Taifa, Asec angekuwa na moto Simba angechapwa goli nyingi, na kama Simba nae angekuwa na moto, angemtandika Asec hata bao 5. Hili group timu zote zina uwezo wa Wastani, hakuna atakayeingia nusu fainal kwa uwezo.

2. Dhidi ha Wydad hii ilionesha ni namna gani Wydad alivyoishiwa mpira, kiwango kimeshuka, Simba akashinda, Simba akajiona ana timu ilhali bado timu haipo.

3. Simba haina mfungaji, hakuna mtu ambaye anayeweza kusumbua defence ya Jwaneng pale kati, sijui akili gani ilitumika kumuacha Baleke. Jwaneng wakichanga karata zao vizuri, kwa perfomance hii ya Simba, kwa perfomance hii ya Simba mechi zake za hivi karibuni, siioni Simba ikichukua matokeo mazuri mbele ya Jwaneng.
Mpira hauko kama unavyofikiri na ndio maana best loser Ivory Coast kawa bingwa Afcon. Simba isijivunie kuwafunga wydad kwa vile wameshuka kiwango ila yanga ndio ijivunie kuwafunga CRB? Sasa CRB wana maajabu gani kuwazidi wydad?

Wydad au simba unaowaona wabovu wanaweza kuitoa yanga wakikutana robo.
 
Simba sina matumaini nayo kwasababu

1. Mpira dhidi ya Asec simba alicheza mpira mbovu saana Taifa, Asec angekuwa na moto Simba angechapwa goli nyingi, na kama Simba nae angekuwa na moto, angemtandika Asec hata bao 5. Hili group timu zote zina uwezo wa Wastani, hakuna atakayeingia nusu fainal kwa uwezo.

2. Dhidi ha Wydad hii ilionesha ni namna gani Wydad alivyoishiwa mpira, kiwango kimeshuka, Simba akashinda, Simba akajiona ana timu ilhali bado timu haipo.

3. Simba haina mfungaji, hakuna mtu ambaye anayeweza kusumbua defence ya Jwaneng pale kati, sijui akili gani ilitumika kumuacha Baleke. Jwaneng wakichanga karata zao vizuri, kwa perfomance hii ya Simba, kwa perfomance hii ya Simba mechi zake za hivi karibuni, siioni Simba ikichukua matokeo mazuri mbele ya Jwaneng.
Kumbe unafuatilia mpira bila ushabiki mkuu. Niko hapa naombea Yanga apange na timu kutoka hili kundi bovu la Simba
 
Naona mashabiki wa Simba baada ya kupata sare na Asec Mimosas wameanza sherehe na kujiona wapo quarter final

Jwaneng ni team ngumu haswa ina points 4 ikishinda kwa mkapa inafikisha points 7 na kufuzu, watakuja kucheza jihad

Jwaneng ni wataalam wa kushinda ugenini waliwapiga Simba ikiwa kamili 2020 goals 3 na kuwatoa mashindanoni, hiyo simba ilikuwa na chama na miquison wakiwa moto, tadeo lwanga, kagere, mgalu, kapombe na Tshabalala walikuwa wangali vijana lakini bado Makili kili wakawapiga Mbumbumbu goal 5

Msimu huu wamempiga Wydad kwake jikoni, na wale waarabu walivo wagumu kuwapiga Morroco

Mbumbumbu Safari haijaisha chukueni tahadhari zote

Nawatakia kila la heri tupangwe knock out stage tuwapige 5 tena

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu watakwambia urudi kwenu kabanga,au mafiga matatu.
 
Walishawahi kuchukua points kwa mkapa?
Waliwahi kuwatoa mashindananoni na mambo yakawa kama hivi
IMG_20240225_095422.jpg
 
Shabiki mwenye akili wa Tanzania hawezi kuombea Simba na Yanga zikutane kwenye michuano ya Mtoano! Kama hujui mpira wa Bongo kaa kimyaaa!
Soma Tena Nilichoandika Hakuna Sehemu Nimeandika Tutakutana Knockout Or Final.

Ila Nimeandika Tunaomba Wapite Tukutane Huko Mbele.
 
Vyura mnajibizana masuala ya Simba utafikiri ni wageni na uwezo alionao myama kwenye match hizi za kimataifa. Simba ni timu imahojielewa na kuhusu robo no swala la kufikia tu labda ingekuwa nusu fainali sawa.
 
Simba haina mfungaji, hakuna mtu ambaye anayeweza kusumbua defence ya Jwaneng pale kati, sijui akili gani ilitumika kumuacha Baleke. Jwaneng wakichanga karata zao vizuri, kwa perfomance hii ya Simba, kwa perfomance hii ya Simba mechi zake za hivi karibuni, siioni Simba ikichukua matokeo mazuri mbele ya Jwaneng
Simba hakuna kitu hawafiki popote
 
Achana nao

Wacha watoke

Hata ikipita haina faida. Atakufa kiume tu

Aende widad na asec

Football is investment sio uhuni uhuni

Yanga kwa sasa inatosha
Kwan yanga inauwekezaji gani mkuu timu kuwa vzr misimu miwil mitatu ndo kuwekeza uwekezaji ni program inayoweza kumaliza hata miaka10 ndo ilipe ukisema mameloud na petro atletico wamewekeza kwenye mpira ntakusapoti timu imewekeza haina hata uwanja wa mazoezi,facilities na haina vijana hadi waokotwe miaka 25 nakubadili vyeti kuwaita under 20
 
Back
Top Bottom