Angalizo kwa Simba: Jwaneng Gallaxy sio team nyepesi kama mnavodhani

Mpira hauko kama unavyofikiri na ndio maana best loser Ivory Coast kawa bingwa Afcon. Simba isijivunie kuwafunga wydad kwa vile wameshuka kiwango ila yanga ndio ijivunie kuwafunga CRB? Sasa CRB wana maajabu gani kuwazidi wydad?

Wydad au simba unaowaona wabovu wanaweza kuitoa yanga wakikutana robo.
 
Kumbe unafuatilia mpira bila ushabiki mkuu. Niko hapa naombea Yanga apange na timu kutoka hili kundi bovu la Simba
 
Mkuu watakwambia urudi kwenu kabanga,au mafiga matatu.
 
Shabiki mwenye akili wa Tanzania hawezi kuombea Simba na Yanga zikutane kwenye michuano ya Mtoano! Kama hujui mpira wa Bongo kaa kimyaaa!
Soma Tena Nilichoandika Hakuna Sehemu Nimeandika Tutakutana Knockout Or Final.

Ila Nimeandika Tunaomba Wapite Tukutane Huko Mbele.
 
Vyura mnajibizana masuala ya Simba utafikiri ni wageni na uwezo alionao myama kwenye match hizi za kimataifa. Simba ni timu imahojielewa na kuhusu robo no swala la kufikia tu labda ingekuwa nusu fainali sawa.
 
Simba hakuna kitu hawafiki popote
 
Achana nao

Wacha watoke

Hata ikipita haina faida. Atakufa kiume tu

Aende widad na asec

Football is investment sio uhuni uhuni

Yanga kwa sasa inatosha
Kwan yanga inauwekezaji gani mkuu timu kuwa vzr misimu miwil mitatu ndo kuwekeza uwekezaji ni program inayoweza kumaliza hata miaka10 ndo ilipe ukisema mameloud na petro atletico wamewekeza kwenye mpira ntakusapoti timu imewekeza haina hata uwanja wa mazoezi,facilities na haina vijana hadi waokotwe miaka 25 nakubadili vyeti kuwaita under 20
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…