Angalizo kwa Simba SC kuelekea derby tar 8 March 2025

Angalizo kwa Simba SC kuelekea derby tar 8 March 2025

Sheikh23

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
1,175
Reaction score
1,934
Wakuu Assalam Alleikhum.
Binafsi nipende kutoa angalizo juu ya upangaji wa kikosi kwa Coach Fadlu na benchi lake la ufundi kuelekea derby jumamosi. Kama kocha Fadlu anataka matokeo,wachezaji wafuatao wasianze kikosi cha kwanza:
1. Ngoma
2. Chamou
3. Mukwala
4.Mpanzu
5.Kapombe
Kwa Ubora wa kikosi cha Yanga kuanzisha 1st eleven mchezaji yeyote kati ya hao niliowataja ni kukinyima kikosi balance na kupelekea Simba SC kukandwa tena. Nitarudi kwa uchambuzi zaidi juu ya ubora na udhaifu wa mchezaji mmoja mmoja Kati ya hao niliowataja,ila nishauri tu kwenye derby wasianze 1st eleven.
Usiniambie Mukwala alifunga Hat Trick kwanini asianze,coastal siyo Yanga🤣🤣
Nawasilisha.
Mapovu Ruksa....
 
Una Elimu gani ya mpila.
Una Daraja Gani la ukocha???

Vitu vingine msipende kujidhalilisha.
Msiidhalilishe pia Jamii Forum.

Kazana kubadili Ratiba ya mfumo wa maisha. Mambo ya usiku yafanye mchana and opposite is true kwa huu mwezi.

Idiot.
 
Una Elimu gani ya mpila.
Una Daraja Gani la ukocha???

Vitu vingine msipende kujidhalilisha.
Msiidhalilishe pia Jamii Forum.

Kazana kubadili Ratiba ya mfumo wa maisha. Mambo ya usiku yafanye mchana and opposite is true kwa huu mwezi.

Idiot.
LoL
 
Una Elimu gani ya mpila.
Una Daraja Gani la ukocha???

Vitu vingine msipende kujidhalilisha.
Msiidhalilishe pia Jamii Forum.

Kazana kubadili Ratiba ya mfumo wa maisha. Mambo ya usiku yafanye mchana and opposite is true kwa huu mwezi.

Idiot.
Mpila ndio nini wewe ngumbaru
 
Hayo ni maoni yako hatuwezi kukupangia Ustazi wangu.

Tunasubiri uchambuzi sasa mzee babà.
 
FB_IMG_17409300222055520.jpg
FB_IMG_17410326976761442.jpg
FB_IMG_17411530539747161.jpg
FB_IMG_17409300294023366.jpg
 
Back
Top Bottom