Sheikh23
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 1,175
- 1,934
Wakuu Assalam Alleikhum.
Binafsi nipende kutoa angalizo juu ya upangaji wa kikosi kwa Coach Fadlu na benchi lake la ufundi kuelekea derby jumamosi. Kama kocha Fadlu anataka matokeo,wachezaji wafuatao wasianze kikosi cha kwanza:
1. Ngoma
2. Chamou
3. Mukwala
4.Mpanzu
5.Kapombe
Kwa Ubora wa kikosi cha Yanga kuanzisha 1st eleven mchezaji yeyote kati ya hao niliowataja ni kukinyima kikosi balance na kupelekea Simba SC kukandwa tena. Nitarudi kwa uchambuzi zaidi juu ya ubora na udhaifu wa mchezaji mmoja mmoja Kati ya hao niliowataja,ila nishauri tu kwenye derby wasianze 1st eleven.
Usiniambie Mukwala alifunga Hat Trick kwanini asianze,coastal siyo Yanga🤣🤣
Nawasilisha.
Mapovu Ruksa....