Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Mwenge Sm ulikuwa unakaa Isamilo jiarani na kanisa la AicDuh...!, utakuwa umefananisha, sijawahi kusoma Mwenge wala kukaa Mwenge!
P
Mwenge Sm ulikuwa unakaa Isamilo jiarani na kanisa la AicDuh...!, utakuwa umefananisha, sijawahi kusoma Mwenge wala kukaa Mwenge!
P
It's true, kwa vile kuna watu wana anticipate with great expectations, kuwashauri wawapuuze manabii wa majanga ni kuwasaidia kwa kuwaandaa kisaikolojia wasije pata great despair.Kupuuza au kutopuuza hakuzuii jambo lisitokee.
Hiyo yq Maza watu wengi wanaombea mitaani. Hata huku IgungaIt's true, kwa vile kuna watu wana anticipate with great expectations, kuwashauri wawapuuze manabii wa majanga ni kuwasaidia kwa kuwaandaa kisaikolojia wasije pata great despair.
P
Nimekaa Isamilo ila sio karibu na kanisa lolote wala sijasoma Mwenge.Mwenge Sm ulikuwa unakaa Isamilo jiarani na kanisa la Aic
Pale ulipokuwa unaishi kwa chini kuna shule ya Makongoro inapakana na Kanisa la Aic Makongoro. Acha kuzuga.Nimekaa Isamilo ila sio karibu na kanisa lolote wala sijasoma Mwenge.
P
Kuna kitu nikukuambia unaweza usiamini, japo nimeishi hapo na jirani ni Makongoro amini usiamini leo ndio nakusikia wewe kuhusu kanisa la AIC na sijawahi kusoma Mwenge!Pale ulipokuwa unaishi kwa chini kuna shule ya Makongoro inapakana na Kanisa la Aic Makongoro. Acha kuzuga.
Hilo ni dua la kukuHiyo yq Maza watu wengi wanaombea mitaani. Hata huku Igunga
Kuna kitu nikukuambia unaweza usiamini, japo nimeishi hapo na jirani ni Makongoro amini usiamini leo ndio nakusikia wewe kuhusu kanisa la AIC na sijawahi kusoma Mwenge!
P
Anything can happen in this planetHilo ni dua la kuku
P
Madhali umeishi hapo basi kuwa mpole. Iwe umesoma Mwenge au la.Kuna kitu nikukuambia unaweza usiamini, japo nimeishi hapo na jirani ni Makongoro amini usiamini leo ndio nakusikia wewe kuhusu kanisa la AIC na sijawahi kusoma Mwenge!
P
It's true, very surprised, it was 1976!, 49 years ago!. Tell me about you umejuaje?!.Madhali umeishi hapo basi kuwa mpole. Iwe umesoma Mwenge au la.
Ahaa.It's true, very surprised, it was 1976!, 49 years ago!. Tell me about you umejuaje?!.
P
Tuambiane, usikute ulikuwa jirani zetu, next house ni kwa RPC Mkwawa, next kwa RMO Dr. Dahoma.Ahaa.
Anything can happen in this planet
Si kweli, hao ni manabii tuu wa majanga.Niemona kwenye mitandao video zinazodai bi Samuya aka Msomi esharejesha namba. Hii imenitisha na kunisikitisha sana kama kweli kipenzi chetu hayupo nasi. Mwenye ukweli kuhusu huu 'uzushi' hatarishi atutoe tongotongo kabla sijazimia kwa kihoro na uchungu. Live long Samuya. Kkk.
Na wapuuzwe tu.Si kweli, hao ni manabii tuu wa majanga.
P
N wewe ni mwandishi wa habari wa majanga yasiyokuwa na madharaSi kweli, hao ni manabii tuu wa majanga.
P
Wanabodi,
Kauli huumba, hivyo tusishabikie sana kauli zenye negativity na kujikuta kumbe ni sisi tuna sababisha hizo negatives kwa kuziumba kwa kauli zetu. Badala yake tuwe positive kwenye kila jambo, hata tukihisi jambo fulani sio jema, tutumie kitu kinachoitwa affirmatives kubadili negatives kuwa positives.
Miongoni mwa kauli hizi za hawa Prophets of the doom wa humu jf, ni pamoja na kuwatabiria vifo vya ajabu ajabu wenzao, wakiwemo viongozi wetu!. Tusishangilie majanga yoyote kwa binadamu wenzetu, hata hawa viongozi wetu sio miungu watu hawa ni binadamu tuu kama sisi hivyo hata wakiwa ni watu wabaya kiasi gani, hata wakiwa na mioyo ya kishetani kiasi gani, hata watutendee maovu kiasi gani, sisi tuwaombee tuu mema, tuwaombee mafanikio na kuwaombea afya njema na waishi maisha marefu hapa duniani na sio kuwaombea kifo, halafu kama kuna maovu wameyatenda, sisi tusiwahukumu, tusije tukahukumiwa, kazi ya kuwahukumu kwa matendo yao, tumwachie Mungu mwenyewe ambaye ndiye Hakimu Mkuu, na hukumu yake ni kupitia kitu kinachoitwa karma, ambapo kila mmoja wetu atahukumiwa kwa matendo yake, ukitenda mema, utalipwa mema, ukitenda uovu au ubaya, utalipwa uovu au ubaya!.
Ila maisha yameumbwa na kifo pia kumeumbwa, kila mtu ni lazima atakufa siku yake ikifika tena atakufa kifo kile kile alichopangiwa na Mungu ile siku anazaliwa, hivyo tusimtabirie yoyote kifo, tusimuombee yoyote kifo, uhai na kifo ni chini ya mamlaka ya Mungu pekee na sio sisi binadamu.
Haijalishi mtu atakufaje, ila malaika mtoa roho Israel humpitia kila kiumbe humu duniani mara 7x 70 ( saba mara sabini) kila siku ili kuhakikisha saa yake ikifika, hazidishi hata nukta moja ya sekunde, kifo ni kazi ya Mungu hatuna haja kutabiriana vifo humu na wengine hadi kuombea vifo wengine, kwa kufanya hivyo wengine bila kujijua kuwa kumtabiria mwenzako kifo au mabaya ni kujiombea wewe mwenyewe kifo au mabaya hayo kwa kanuni ya karma ya what goes around, comes around kwa kufuata kanuni ya Newton ya every action, there is equal and opposite reaction.
Haijalishi mtu atakufaje, ila kwa yoyote na vyovyote atakavyokufa, kifo hicho ndicho alichoandikiwa na ndicho kilichopangwa ile siku anazaliwa, kwa sababu kuzaliwa na kifo ni mipango ya Mungu pekee. Hata shetani akipanga mipango miovu vipi, kama Mungu hajaridhia, hata wapange vipi, kamwe hawatafanikiwa, kila binadamu atakufa saa ile tuu aliyoandikiwa na kifo kile tuu alichopangiwa kwa mipango ya Mwenyezi Mungu pekee.
Wasalaam.
Paskali
Wanabodi,
Je, wajua kuwa baadhi ya watu kauli zao zina nguvu ya kuumba?Niulize mimi! Mimi kazi yangu ni mwandishi wa habari, kazi ya uandishi inakutaka ufike kwenye tukio haraka, na kuwahisha habari newsroom kwa haraka. Hivyo usafiri most convenient kwa sisi waandishi wa habari, ni usafiri wa pikipiki. Hivyo kati ya miaka yangu 32 ya uandishi wa habari, miaka 18 usafiri wangu ulikuwa ni piki piki!
Mwezi June mwaka 2008, kuna mtu alipandisha uzi humu JF, kuhusu uendeshaji wangu wa pikipiki, kwenye uzi huo, kulitolewa kauli mbaya kuhusu uendeshaji wangu wa pikipiki na kuhusishwa na ajali!, huwezi amini mwezi uliofuata, mwezi Julai, nilikula mzinga wa kwanza, na mwezi August nikala mzinga wa pili wa haja!. Lile bandiko la mwanzo kuhusu uendeshaji wangu wa pikipiki, likafutwa ndipo bandiko la ajali yangu ya pikipiki likapandishwa
Pascal Mayalla apata ajali..... hivyo huu ni uthibitisho kuwa kuna baadhi ya watu, kauli zao huumba!. Nimeanza kuendesha pikipiki 1993, hivyo hiyo 2008 ni miaka 15!, huo ndio ulikuwa uendeshaji wangu na sikuwahi kipata ajali!. Ila baada ya watu wenye kauli za kuumba, kuandika humu JF kuwa naendesha mbio pikipiki nitapata ajali, kauli hizo ziliniumbia hiyo ajali na kweli nikapata ajali!
Wasalaam
Paskali.
Mkuu Mati Matrix19 , natamani jf iwe na achieve ya threads zilizofutwa, ili nimjue yule aliyenitolea kauli umba ile 2008 yakanikuta yakunikuta, nikikuta ni wewe, nianze kujiandaa kabisa kwa kuaga, na kuishauri familia, ikitokea ajali ya gari, mwili wangu ukawa hauonekani, then wasihangaike kutafuta, wajue tuu nimetwaliwa mazima na mwili wangu kama Enock, Mussa na Bikira Maria.Ulipopata ile ajali 2008 ulisema watu walitamani upate ukapata.
Basi kesho pia kipindi hiki upate ajali mbaya ya gari na mwili wako usipatikane kabisa katika hali ya utambuzi wa kibinadamu .
Waombe radhi waliopotelewa ndugu zao tarehe za mwanzo wa November ulisema hakukua na mauaji ila vurugu ndogo.Mkuu Mati Matrix19 , natamani jf iwe na achieve ya threads zilizofutwa, ili nimjue yule aliyenitolea kauli umba ile 2008 yakanikuta yakunikuta, nikikuta ni wewe, nianze kujiandaa kabisa kwa kuaga, na kuishauri familia, ikitokea ajali ya gari, mwili wangu ukawa hauonekani, then wasihangaike kutafuta, wajue tuu nimetwaliwa mazima na mwili wangu kama Enock, Mussa na Bikira Maria.
Ila kiukweli hawa prophets of the doom wa humu...
P
Anayeomba radhi ni aliyefanya kosa, mimi niombe radhi kwa kosa gani?!Waombe radhi waliopotelewa ndugu zao
Huu pia ni unabii wa majanga!.Ndio nikakukumbusha kwa waliotamani upate ajali ile kutokana na uendeshaji wako kipindi kile na walikuonya sasa je watashindwaje kutaka tena upate kipindi hiki ajali ya gari na mwili wako usitambulike katika hali ya kibinadamu
Umeona sawa kutoa ushauri watu watoe takwimu feki??Anayeomba radhi ni aliyefanya kosa, mimi niombe radhi kwa kosa gani?!
Mimi sijatoa unabii wowote na mimi sio nabii , lazima ukubali ukweli wewe ulivyopuuza vifo vya hao watu ndio pengine wao watatamani hicho nilichokisema na nimetoa kama mfano kwa kusema mwili ushindwe kutambulika mimi sihusiki na mauaji na sishabikii mauaji na ndio maana ninakataa huu upuuzi ulioshauri wa kusema takwimu zipikwe kama mlivyopika kura feki milioni 32.Huu pia ni unabii wa majanga!.
Hakuna kipya chini ya jua, kila kinachotokea kwa binadamu kilikuwa kitokee, kama nimeandikiwa kifo cha ajali na mwilli upotee, then siku yangu ikifika itakuwa imefika.
P
Wanabodi,
Huu ni wito wangu kwa wana jf wenzangu, Tuwaepuke "Manabii wa Majanga", Prophets of the doom" ambao kazi yao ni kuwanyooshea vidole wenzao na kuwahukumu pasipo uthibitisho, kila kunapotokea tukio baya, na kuwaombea wenzao majanga ikiwemo kuwaombea vifo, au kuwatabiria kifo.
Paskali
Duh...!. Halafu mtu kama huyu Ijumaa kama leo, anaenda masjid anapiga swala, au Jumapili anaenda kanisani kusali!Natamani afanyiwe kama Gaddafi. Avuliwe nguo, afiiiiiilwe na kumaliziwa kwa kipigo hadi kukata kauli sheitwan daughter of the morning.