Psychoanalysis Trends za Viongozi Wetu, Humbleness ya Rais Samia ni Bonafide Genuine, ni asili yake, ni nature yake, ndivyo alivyo, Ila...

Mkuu Pascal Mayalla! wewe nyoosha tu maelezo ya kwamba Rais Samia Suluhu Hassan, anaurejesha rasmi utawala wa JK! Na kwa sasa tunakaribia kabisa kurudi enzi zileeee za miaka ya 2005 mpaka 2015.

Na ni vyema ungewashauri MATAGA kuchukua hatua sahihi mapema kabla ya kuondolewa wote kwenye utafunaji wa keki ya Taifa. Mifano ni mingi, muda ni mchache!

Kweli kutesa kwa zamu! No JPM, no MATAGA!
Na kweli tumerudi eti! Enzi zileee...
 
Wanabodi,

Wito
Kama ilivyokuwa kwa JPM, alikuwa ni chaguo la Mungu kwa Tanzania, na baadae Mungu akabadili mawazo na kuamua kumuita kwake, na badala yake sasa Mungu ametuletea Samia, hivyo kwa sasa Samia ndio chaguo la sasa la Mungu kwa Tanzania, hivyo natoa wito kwa sisi wana Jf, la Watanzania kwa ujumla lets give her time, tumpe muda wa kutosha kuisuka nchi. Lets not take upole wake, unyenyekevu wake na humbleness yake for granted tukaanza kumzengua...

She will be....
Naomba nisimalizie

Nakutakia Jumapili Njema.

Paskali
Sasa hapa ndugu Pascal Sijui umeandika nini. Kusema Samia ni mpango wa Mungu ni kukosa hoja za kwanini anafaha. Kuwa objective kidogo, inasaidia.

Kuwa raisi si kwamba unakuja na sifa (kiatu) zako. Sifa na matakwa ya kiongozi bora wa kushika nafasi hii nyeti ziko wazi (hiko ndo kiatu). Na kwa bahati mbaya sana, Samia hana sifa za kuwa kiongozi wa taasis hii nyeti. Ndiyo maana ya kiatu hakitoshi. Wala kusema hivo si kwamba tunamringanisha na watangulizi. Sifa zake zinapelea.
Mkuu Agent-47 , karibu pande hizi
P
 
Wanabodi,

Mtu mcha Mungu, mpole, mnyenyekevu wa type ya Mama Samia, akitibuliwa na akatibuka... JPM atakuwa ni mtakatifu!.

Kama alivyo sema mwenyewe kuhusu uwezo wa macho yake yale.... yanaona hayo!, na akasema wazi yeye sio mtu wa kufoka foka na akatoa onyo tusimzengue "mkinizengua, tuta zenguana"
Wito
Kama ilivyokuwa kwa JPM, alikuwa ni chaguo la Mungu kwa Tanzania, na baadae Mungu akabadili mawazo na kuamua kumuita kwake, na badala yake sasa Mungu ametuletea Samia, hivyo kwa sasa Samia ndio chaguo la sasa la Mungu kwa Tanzania, hivyo natoa wito kwa sisi wana Jf, la Watanzania kwa ujumla lets give her time, tumpe muda wa kutosha kuisuka nchi. Lets not take upole wake, unyenyekevu wake na humbleness yake for granted tukaanza kumzengua...

She will be....
Naomba nisimalizie

Paskali
Kuna kitu kwenye uzi huu kumhusu Rais Samia, sisi ma trends reader tunakijua na tunakiona, lakini sikukitaja, ila nilikitolea angalizo kuwa mtu mpole wa aina hii, akitibuliwa, JPM ataonelana alikuwa ni malaika!.

GenzZii wamemtibua, hivyo sasa awamu hii yake ya pili, hicho kitu ambacho sikukisema, kitatokea na nikijaaliwa ule uthubutu wangu wa enzi za Magufuli, then nitakisema.

Japo marehemu huwa hawasemwi vibaya, ila Nyerere katika kipindi cha miaka 24 ya utawala wake, ali sign death warrants 3, ya kwanza sijui ni ya nani, ya pili ni ya Mwamwindi na ya tatu ni ya muhindi mmoja alikata premium life insurance yake, mkewe na watoto, kisha alawaua wote mke na watoto wake wawili, miili akaisweka kwenye gari, akaipeleka usawa wa korongo, akamuweka mke kwenye usukani, akaimwagia petrol na kuisukumia korongoni, kisha akaenda kuripoti polisi kuwa mke na watoto hawaonekani. Walipopatikana ikaonekana ni ajali tuu ya kawaida, baada ya msiba jamaa akatinga bima kudai bulungutu lake, ndipo deal ikashtukiwa.

Rais aliyemfuati Nyerere alikuwa ni Mzanzibari na mpole kama Samia, katika kipindi cha miaka 10 yake, Watanzania 264 waliohukumiwa kunyongwa, walinyongwa!, hivyo hawa watu waoneni hivi hivi!.

Aliyemfuatia ni Mkapa hakusaini hata hati moja!, Aliyemfuatia ni Kikwete hakusaini hata hati moja!. Aliyefuatia ni JPM, hakusaini hata hati moja, ukiondoa zile za kikazi zaidi!, sasa tuna Mzazibari mpole tena, ila ametibuliwa kwa kukataliwa, ameforce kingi, ametangazwa na ataapishwa!, sasa subirieni muziki wake, ndio ile kitu ambayo sikuisemaa na siisemi, ila...

Mungu Saidia

Mungu Ibariki Tanzania

P
 
Wanabodi,
Moja ya topic ngumu sana humu JF, ni topic za kitu kinachoitwa Trends Readings za psychoanalysis trends, kinacho tokana na ku Psychoanalyse Trends kisaikolojia kwa kutumia tabia za mtu za nyuma, tabia zake za sasa kuweza ku détermine tabia zake za huko tunakwenda na ni nini kitakachokuja kutokea baadae in near future in short term, médium term na long term.

Trends Reading ni Nini, na Zina Kazi Gani, na Zina Faida Gani?.
Kwa kifupi, trends ni mielekeo, hivyo trends readings ni kusoma mielekeo, faida ya kusoma mielekeo, au direction, na kuangalia kule mliko toka, hapo mlipo mlipo, ili kujua kule mnakokwenda. Ni kama somo la Historia, ni kujifunza mambo ya zamani, kule tulikotoka, kulinganisha ya sasa hapa tulipo, hivyo kuweza kujua kule tuendako. History is the study of the past in relation to the present, to determine the future. Hivyo faida kubwa kabisa ya trends reading is the determination of the future. The future haijiji tuu kama kudra ya Mwenyezi Mungu, inakuwa determined na matendo yako ya nyuma, matendo yako ya sasa, hivyo kuipanga kesho yako iweje.

Trends Reading Sio Utabiri, Sio Ubashishiri, Ni Usomaji wa Mienendo na Mielekeo, Matokeo ya Trends ni Uhakika Zaidi Kuliko Utabiri na Ubashiri.
Kuna watu wanachanganya ubashiri, utabiri na trends readings. Japo yote matatu, yanaweza kusema kitatokea nini in future, mtabiri yeye anatumia mizimu kuuliza na kuona kitatokea nini, hawa wanaitwa scorchers, kuna wasoma nyota wanaoweza kukuambia yajayo kwa kusoma nyota yako, hawa wanaitwa astrongers, kama Sheikh Yahaya Hussen. Kuna wabashiri, hawa ni watu wa kubahatisha tuu kama bahati nasibu, Simba na Yanga zikicheza, kuna matokeo matatu tuu, au kushinda, kushindwa na sare. Wabashiri wanabahatisha lolote likitokea, wanakula bingo kwenye betting. Trends Readers, sio wanajimu, sio wabashiri ni watu wa kawaida tuu ambao ni wasoma mielekeo, trends na kuweza kusema kitatokea nini in future kutokan na matendo au matukio ya nyuma, matukio ya sasa na hivyo kujua matukio yajayo.

Kwa vile mimi ni mtu wa mastori mastori, kwa wapenda mastori, sasa kwa faida ya wenzetu wasio penda long stories, mnaweza kuishia hapa, na kwenda kusoma conclusion.
Kwa wale tunao endelea tuanze na Psychoanalysis ni nini na ya kazi gani au inasaidia nini?.

Conclusion

Trends za Samia, zinaonyesha tunaelekea kwenye Tanzania njema yenye rais humble, mpole, mnyenyekevu, mstahimilivu, na hata kule UN, tumemshuhudia katika hotuba yake, amehutubia UN akiwa humble vile vile. Once humble, always humble!.
Mungu ambariki sana, Mama Samia aendelee na hii humbleness yake asibadilike.

Mtu mcha Mungu, mpole, mnyenyekevu wa type ya Mama Samia, akitibuliwa na akatibuka... JPM atakuwa ni mtakatifu!.

Kama alivyo sema mwenyewe kuhusu uwezo wa macho yake yale.... yanaona hayo!, na akasema wazi yeye sio mtu wa kufoka foka na akatoa onyo tusimzengue "mkinizengua, tuta zenguana"
Wito
Kama ilivyokuwa kwa JPM, alikuwa ni chaguo la Mungu kwa Tanzania, na baadae Mungu akabadili mawazo na kuamua kumuita kwake, na badala yake sasa Mungu ametuletea Samia, hivyo kwa sasa Samia ndio chaguo la sasa la Mungu kwa Tanzania, hivyo natoa wito kwa sisi wana Jf, la Watanzania kwa ujumla lets give her time, tumpe muda wa kutosha kuisuka nchi. Lets not take upole wake, unyenyekevu wake na humbleness yake for granted tukaanza kumzengua...

She will be....
Naomba nisimalizie

Nakutakia Jumapili Njema.

Paskali
Pasko pamoja na hiyo shahada ya sheria ya masomo ya jioni umeshindwa kuitumia kupata riziki hadi urambe mataaako ya watu? Uchangudoa mwingine haukufai. Kawambie huo utumbo wako Gen Z. Kama ndo utuezi wa kujivua nguo wengi mtageuuzweeni bure. Bazwele Nkosi yami baba.
 
LL.B yangu ni ya UDSM ya zamani, ukiondoa LL.B ya open university, hakuna LL.B yoyote ya evening class!, ni full time!.
P
Ya OUT ni nini? Acha uhuni. Huwezi kuwa na LLB ya kweli ukajiachia na kujidhalilisha kwa kujikomba? Angalia wanasheria kama akina Kibatala, Lissu na wengine wanavyotuheshimisha sisi wanasheria. Uongo mwingine si wa kitoto bali kifaaaala sana hasa kwa mtu mzima mwenzangu.
 
Tuna safari ndefu, sina shida na message.

Lakini kwanini uweke scientific terms ambazo apparently huna hata elementary knowledge nazo; walau kwa mtiririko wa maelezo ya main posts.

Do you even understand the usefulness of psychoanalysis in psychology applications it has no correlation na ujinga ulioandika.

Its main use is dealing with phobias, sio huo ujinga uliondika.

Hata mnasoma basi na kujifunza mambo mnayoandika.

Not sure you understand how unscientific Sigmund Freud methods were.

As for the main post, umeandika ujinga mtupu if applied to the theory; there is correlation to your following points.

But then you can get away with nonsense in JF. Otherwise in the real world ni ujinga mtupu.

You don’t even understand ‘psychoanalysis’ kwa upupu ulioandika na wala ujawahi kusoma kitabu cha psychology.

That’s obvious kwa upupu ulioandika. Huko kwenye kuji-entertain na upuuzi nawaachia wenyewe.

Advise go read and understand the theory before writing nonsense and attach it the theory.

You can’t just write stuff from the top of your head and get away with it, when it’s clearly you don’t have the basic understanding of the theory,
 
Lord Quimby, I can't agree with you more. Some half-baked people arrogantly and ignorantly write things foolishly intending to and thinking they can intimidate or hoodwinking others. If indeed Pasko is a lawyer, I would recommend to him to visit legal psychology about how people commit crimes like those Samia has committed against the mass. I see no difference mentally and psychologically between Hitler, Idi Amin, Pol Pot and his beloved Samia whose butts he has always kissed and licked. What an academic fag!
 
In this instance he doesn’t even understand psychoanalysis.

IMG_8054.jpeg

Hiko ni basic psychology book ninachosoma (na hao ndio main theory drivers) there are more theories and theorists than those in the real world.

That’s the only psychology book which I have and it covers the basics of psychoanalysis. But then Psychology has seven main school of thoughts.

Msingi wa psychology ya Freud ni
(psychoanalysis) sehemu kubwa ya conclusion yake sio scientific na application za theory ya ni kwenye maswala ya Phobia.

Psychoanalysis has little implication in terms of behaviour psychology huko kuna kina (Pavlov na Skinner).

Ni hivi Tanzania the so called wasomi wanatabia ya kujiandikia ujinga na wana audience ya ku-support maandishi yao ya ujinga.

Paskali hana analolijua kuhusu Psychology.

Alichoandika in relation to psychoanalysis ni ujinga mtupu.
 
In this instance he doesn’t even understand psychoanalysis.

View attachment 3496497
Hiko ni basic psychology book ni add on only kwangu, kwa vitabu vya psychology.

Msingi wa psychology ya Freud (psychoanalysis) sio scientific na application yake kwenye maswala ya Phobia. It has little implication in terms of behaviour psychology huko kuna (Pavlov na Skinner).

Ni hivi Tanzania the so called wasomi wanatabia ya kujiandikia ujinga na wana audience ya ku-support maandishi yao ya ujinga.

Paskali hana analolijua kuhusu Psychology.
Nashangaa amesoma sheria ipi hasa ikizingatiwa kuwa nimeisoma hiyo sheria mbali na kusomea mambo mengine mengi. Sijui. Kweli, sijui. Naamini naye anaandika na kutumia asichojua. Huenda hajui kuwa hajui.
 
Kuna kitu kwenye uzi huu kumhusu
Rais Samia, sisi ma trends reader tunakijua na tunakiona, lakini sikukitaja, ila nilikitolea angalizo kuwa mtu wa pole wa aina hii, akitibuliwa, JPM ataonelana alikuwa ni malaika!.

GenzZii wamemtibua, hivyo sasa awamu hii yake ya pili, hicho kitu ambacho sikukisema, kitatokea na nikijaaliwa ule uthubutu wangu wa enzi za Magufuli, then nitakisema.

Japo marehemu huwa hawasemwi vibaya, ila Nyerere katika kipindi cha miaka 24 ya utawala wake, ali sign death warrants 3, ya kwanza sijui ni ya nani, ya pili ni ya Mwamwindi na ya tatu ni ya muhindi mmoja alikata premium life insurance yake, mkewe na watoto, kisha alawaua wote mke na watoto wake wawili, miili akaisweka kwenye gari, akaipeleka usawa wa kongoro, akamuweka mke kwenye usukani, akaimwagia petrol na kuisukumia korongoni, kisha akaenda kuripoti polisi kuwa mke na watoto hawaonekani. Walipopatikana ikaonekana ni ajali tuu ya kawaida, baada ya msiba jamaa akatinga bima kudai bulungutu lake, ndipo deal ikashtukiwa.

Rais aliyemfuati Nyerere alikuwa ni Mzanzibari na pole kama Samia, katika kipindi cha miaka 10 yake, Watanzania 264 waliohukumiwa kunyongwa, walinyongwa!, hivyo hawa watu waoneni hivi hivi!.

Aliyemfuatia ni Mkapa hakusaini hata hati moja!, Aliyemfuatia ni Kikwete hakusaini hata hati moja!. Aliyefuatia ni JPM, hakusaini hata hati moja, ukiondoa zile za kikazi zaidi!, sasa tuna Mzazibari pole tena, ila ametibuliwa kwa kukataliwa, ameforce kingi, ametangazwa na ataapishwa!, sasa subirieni muziki wake, ndio ile kitu ambayo sikuisemaa na siisemi, ila...

Mungu Saidia

Mungu Ibariki Tanzania

P

Acha ujinga, Samia ataenda jela.
 
Hata kwenye sheria tunayo hasa kwanini watu fulani hutenda makosa fulani mkuu.
Kiongozi mada ya sheria ntajadili sheria kwa upande wangu.

Na mada ya Psychology ntaongea maswala ya topic husika.

That is to say nachangia kutokana na topic ya mada.

Otherwise I am not bothered with personal attacks with people I don’t know in this world. I don’t do personal attachments in a virtual world.
 
Acha ujinga, Samia ataenda jela.
Hakuna ubaya mtu kuwa a wishful thinker, ila think yale mambo yenye uwezekano wa kuwezekanika, sio kuwish ndoto za Alinacha na mambo ya utopian!.

Rais mteule ameisha tangazwa, anasubiri kuapishwa, akisha apishwa, ni Rais wa JMT. Hakuna chochote wala lolote mtu yeyote anaweza fanya isipokuwa YEYE Pekee!.
P
 
Mkuu Pascal Mayalla! wewe nyoosha tu maelezo ya kwamba Rais Samia Suluhu Hassan, anaurejesha rasmi utawala wa JK! Na kwa sasa tunakaribia kabisa kurudi enzi zileeee za miaka ya 2005 mpaka 2015.

Na ni vyema ungewashauri MATAGA kuchukua hatua sahihi mapema kabla ya kuondolewa wote kwenye utafunaji wa keki ya Taifa. Mifano ni mingi, muda ni mchache!

Kweli kutesa kwa zamu! No JPM, no MATAGA!

Tate Mkuu Uliona mbali sana!!
 
Unyeyekevu wake unatokana na malezi yake bora aliyo yapata.

ni mtu mcha Mungu mwenye hofu ya Mungu, anaye amini kuwa cheo au madaraka vyote hivyo haviwezekani isipokuwa kwa Mkono wa Mungu.

Hivyo kiongozi anayejua hayo kamwe hawezi kuinua mabega juu. Rais Mama Samia ni mfano mzuri sana kwa viongozi wengine wa juu, wa chini na hata wananchi wa kawaida, kama Amiri Jeshi Mkuu anakuwa mnyenyekevu kwa kila mtu kiasi hiki! sembuse mimi na wewe!

kwa wenye akili tayari wamejiongeza lkn kwa wenye akili nusu kikombe wanaweza kujenga dharau na udhaifu kumbe sivyo.

Kiongozi yeyote anayejua maaana ya uongozi lazima awe mnyenyekevu.
Hizi sifa bado anazo kweli! Maana angekuwa yupo humu jukwaani, angepita na kusoma hiki ulichokiandika hapa, basi kuna kitu angejifunza!
 
Wanabodi,

Conclusion
Trends za Samia, zinaonyesha tunaelekea kwenye Tanzania njema yenye rais humble, mpole, mnyenyekevu, mstahimilivu, na hata kule UN, tumemshuhudia katika hotuba yake, amehutubia UN akiwa humble vile vile. Once humble, always humble!.
Mungu ambariki sana, Mama Samia aendelee na hii humbleness yake asibadilike.

Mtu mcha Mungu, mpole, mnyenyekevu wa type ya Mama Samia, akitibuliwa na akatibuka... JPM atakuwa ni mtakatifu!.

Kama alivyo sema mwenyewe kuhusu uwezo wa macho yake yale.... yanaona hayo!, na akasema wazi yeye sio mtu wa kufoka foka na akatoa onyo tusimzengue "mkinizengua, tuta zenguana"
Wito
Kama ilivyokuwa kwa JPM, alikuwa ni chaguo la Mungu kwa Tanzania, na baadae Mungu akabadili mawazo na kuamua kumuita kwake, na badala yake sasa Mungu ametuletea Samia, hivyo kwa sasa Samia ndio chaguo la sasa la Mungu kwa Tanzania, hivyo natoa wito kwa sisi wana Jf, la Watanzania kwa ujumla lets give her time, tumpe muda wa kutosha kuisuka nchi. Lets not take upole wake, unyenyekevu wake na humbleness yake for granted tukaanza kumzengua...

She will be....
Naomba nisimalizie

Nakutakia Jumapili Njema.

Paskali
HBD Rais Samia Suluhu Hassan.

Kwenye uzi huu nilitoa angalizo fulani na kuna kitu sikukimalizia ila kuna kitu Imma kazengua, natamani kukijua!.
Anayejua kosa la mtu huyu ni nini atushirikishe tujue maana...

P
 
Back
Top Bottom