Wanabodi,
Mtu mcha Mungu, mpole, mnyenyekevu wa type hii, akitibuliwa na akatibuka... JPM atakuwa ni mtakatifu!. Kama alivyo sema mwenyewe kuhusu uwezo wa macho yake yale.... yanaona hayo!, na akasema wazi yeye sio mtu wa kufoka foka na akatoa onyo tusimzengue "mkinizengua, tuta zenguana" Wito Kama ilivyokuwa kwa JPM, alikuwa ni chaguo la Mungu kwa Tanzania, na baadae Mungu akabadili mawazo na kuamua kumuita kwake, na badala yake sasa Mungu ametuletea Samia, hivyo kwa sasa Samia ndio chaguo la sasa la Mungu kwa Tanzania, hivyo natoa wito kwa sisi wana Jf, la Watanzania kwa ujumla lets give her time, tumpe muda wa kutosha kuisuka nchi. Lets not take upole wake, unyenyekevu wake na humbleness yake for granted tukaanza kumzengua... She will be....Naomba nisimalizie Nakutakia Jumapili Njema. Paskali