Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!

Pale ulipokuwa unaishi kwa chini kuna shule ya Makongoro inapakana na Kanisa la Aic Makongoro. Acha kuzuga.
Kuna kitu nikukuambia unaweza usiamini, japo nimeishi hapo na jirani ni Makongoro amini usiamini leo ndio nakusikia wewe kuhusu kanisa la AIC na sijawahi kusoma Mwenge!
P
 
Anything can happen in this planet
Si kweli, hao ni manabii tuu wa majanga.
P
 
Ulipopata ile ajali 2008 ulisema watu walitamani upate ukapata.

Basi kesho pia kipindi hiki upate ajali mbaya ya gari na mwili wako usipatikane kabisa katika hali ya utambuzi wa kibinadamu .
Mkuu Mati Matrix19 , natamani jf iwe na achieve ya threads zilizofutwa, ili nimjue yule aliyenitolea kauli umba ile 2008 yakanikuta yakunikuta, nikikuta ni wewe, nianze kujiandaa kabisa kwa kuaga, na kuishauri familia, ikitokea ajali ya gari, mwili wangu ukawa hauonekani, then wasihangaike kutafuta, wajue tuu nimetwaliwa mazima na mwili wangu kama Enock, Mussa na Bikira Maria.

Ila kiukweli hawa prophets of the doom wa humu...

P
 
Waombe radhi waliopotelewa ndugu zao tarehe za mwanzo wa November ulisema hakukua na mauaji ila vurugu ndogo.

Mlivyoona dunia inazidi kufukua yaliyofanyika gizani na sactions ambazo zimeanza na nyingine ziko njiani ndio mmeanza kujirudi kwa kusema sasa takwimu zitolewe feki na sio halisi.

Swali langu ni kuwa kwanini zitolewe takwimu feki[ ambacho ndio kitakuja kutolewa hiyo February na lile genge la Othman Chande] huku mkiweka vichwa katika mchanga .

Video ya Mwananyamala ilipotoka wizara ya afya walisema ni ya kutengenezwa na Al ilhali kuna watu waliona maiti za ndugu zao pale ila hawakuwahi kamwe kuzipata licha ya kwenda pale Mwananyamala hospital.

Ndio nikakukumbusha kwa waliotamani upate ajali ile kutokana na uendeshaji wako kipindi kile na walikuonya sasa je watashindwaje kutaka tena upate kipindi hiki ajali ya gari na mwili wako usitambulike katika hali ya kibinadamu kama wewe umeona ni sawa takwimu za ndugu zao zidanganywe wakati wameishia kuzika picha, nguo na viatu?
 
Waombe radhi waliopotelewa ndugu zao
Anayeomba radhi ni aliyefanya kosa, mimi niombe radhi kwa kosa gani?!
Ndio nikakukumbusha kwa waliotamani upate ajali ile kutokana na uendeshaji wako kipindi kile na walikuonya sasa je watashindwaje kutaka tena upate kipindi hiki ajali ya gari na mwili wako usitambulike katika hali ya kibinadamu
Huu pia ni unabii wa majanga!.
Hakuna kipya chini ya jua, kila kinachotokea kwa binadamu kilikuwa kitokee, kama nimeandikiwa kifo cha ajali na mwilli upotee, then siku yangu ikifika itakuwa imefika.
P
 
Anayeomba radhi ni aliyefanya kosa, mimi niombe radhi kwa kosa gani?!
Umeona sawa kutoa ushauri watu watoe takwimu feki??

Yaani wameuwawa watu 10000 wewe unashauri waseme ni 100 je hao 9900 ndugu zao waliokosa miili yao wakazika picha , nguo na viatu watakuelewa vipi??
Huu pia ni unabii wa majanga!.
Hakuna kipya chini ya jua, kila kinachotokea kwa binadamu kilikuwa kitokee, kama nimeandikiwa kifo cha ajali na mwilli upotee, then siku yangu ikifika itakuwa imefika.
P
Mimi sijatoa unabii wowote na mimi sio nabii , lazima ukubali ukweli wewe ulivyopuuza vifo vya hao watu ndio pengine wao watatamani hicho nilichokisema na nimetoa kama mfano kwa kusema mwili ushindwe kutambulika mimi sihusiki na mauaji na sishabikii mauaji na ndio maana ninakataa huu upuuzi ulioshauri wa kusema takwimu zipikwe kama mlivyopika kura feki milioni 32.

Mmeua watu sasa wapeni ndugu zao miili wakazike.
 
Natamani afanyiwe kama Gaddafi. Avuliwe nguo, afiiiiiilwe na kumaliziwa kwa kipigo hadi kukata kauli sheitwan daughter of the morning.
Duh...!. Halafu mtu kama huyu Ijumaa kama leo, anaenda masjid anapiga swala, au Jumapili anaenda kanisani kusali!

Kwenye bandiko hili nimezungumzia kuhusu what goes around comes around. Kumu wish binadamu mwenzako mabaya, ni wewe kujiwish mabaya bila wewe kujijua!.

Kutamani rais wako afanyiwe kama Gaddafi, tena huyu ni mwanamke, kutamani avuliwe nguo, kisha ananiiliwe kule upande wa pili!, na kumaliziwa kwa kipigo hadi kukata kauli, huu ni ushetani !. Kumuita rais wako sheitwan ni kujiita shetani bila wewe kujijua!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…