Angalizo kwa Wana JF: Tuwaepuke "Prophets Of The Doom", kauli zao huumba!

[QUOTE="Pasco, post: 18325834, member: 12004

Haijalishi mtu atakufaje, ila kwa yoyote na vyovyote atakavyokufa, kifo hicho ndicho alichoandikiwa na ndicho kilichopangwa ile siku anazaliwa, kwa sababu kuzaliwa na kifo ni mipango ya Mungu pekee. Hata shetani akipanga mipango miovu vipi, kama Mungu hajaridhia, hata wapange vipi, kamwe hawatafanikiwa, kila binadamu atakufa saa ile tuu aliyoandikiwa na kifo kile tuu alichopangiwa kwa mipango ya Mwenyezi Mungu pekee.
Wasalaam.
Pasco[/QUOTE]



Mkuu Pasco, hii paragraph INATOSHA sana kusimama kama hukumu kwa both parties (wanaoomba mabaya & wanaoombewa mabaya).

***"Tukeshe tukiomba kwa maana hakuna ajuaye siku wala saa."
 
Hahahahhaaa Umepiga penyewe Baba Mtumishi, umenena kweli, kweli imekuweka huru!!!
 
Hahahahhahah hili la Pasco kuwa mjanja mjanja nakubaliana nawe kabisa, nimemuomba Pasco kisho kwenye ile press ya Magu aulize maswali, sasa sijui kama kweli atauliza
Mkuu Elli, du!, hii ndio leo naiona!.

P.
 
kuwa kiongozi haimanishi kuwa una akili nyingi kuliko unaowqongoza! kiongozi huchaguliwa miongoni mwa viongozi wetu . kuamini kuwa kiongozi ana tiba na suluhisho la kila tatizo ni kuamini kuwa kiongozi ana akili kuliko anaowaongoza, ukiruhusu jambo hili utafnya watu wako wakuogope hivyo kuwa wanyapala (Jk Nyerere, 1966)
 
Ref.amri ya kwanza ya Mungu inasema ndimi bwana Mungu wako usiabudu miungu wengine. Kwahiyo miungu iko ya kumwaga tu. Ni wewe tu kuijua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ya kusema mtoa roho Israel umeipata wapi pascal mayalla? Maana usije ukajikuta imeiga tu jina la watu la chuki. Tafuta maana ye neno israel a sifa za jina hilo. Otherwise kuna watu kwa chuki zao wanaita hivyo huku wao ndo wakiwa watoa roho wenyewe kwa mabomu na risasi

 
baba wa dizaini ya masolex kumbafuuu

Baba asiyeambilika wa kazi Gani?? Piga shaba ya kichwa kazi iisheee!
Mkuu nkuwi soma hii thread na ufute kauli yako hii ya kishetani ya kuwaambia watu wapigwe shaba ya kichwa kazi iishe, badala ya hao unaowaombea wapigwe shaba ya kichwa, inawezekana, wasipigwe na badala yake mapigo kama, ya shaba ya kichwa yakakupata kwa kupata majanga mengine.

tuchunge sana kauli zetu. Tusiombee watu mabaya ili tusijiombee mabaya.

Paskali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…