Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,761
- 5,276
Aibu tupu! Mambo ya kuabudu Almighty Whitey kwa jinsi hao Waswahili na Wazungu wanavyojivinjari kwenye hiyo video. Kwanini Zitto ilibidi aende London ku-consult na Wazungu wa Labour Party kuh validity za claims zake kabla ya ile press conference yake ya jana? Tanzania nzima hakuna Wasomi wa uchumi ambao wangeweza kumshauri? Huyu mtu ni so arrogant and always ego-driven na anajiona yeye ni smartest man around in every room he steps in and out 1000 square miles radius. Jerry Muro may have been right: hii ishu ni Zitto pekee yake anataka credit na hakuna cha kamati kuu ya ACT wala nini walioshauri au ku-endorse.