tweenty4seven
JF-Expert Member
- Sep 21, 2013
- 15,894
- 19,779
Kumbe ni kweli data zote ni fiksi fiksi tu yani ze comedy show
Azungumziwi jpm,anayetajwa ni rais as taasisiYuko sahihim umri wa JPM wengi wetu ni umri wa Wazazi
Sio kuamini. Sukari haikuwa inauzwa bei hiyo.Je unaamini sukar ilikuwa 5000/- 2015?
Labda mungu wa LumumbaNilikuta sukari Sh 5,000 nikaishusha, msema kweli mpenzi wa mungu, in JPM's voice, ingawa mimi sijui uwa ana maanisha mungu yupi
Wanabodi
Nimekutana na Mhe. Zitto Kabwe katika event ya Policy Forum pale British Council last week, nimefanya nae a short interview ya maswali mawili tuu.
1. Hoja ya yeye kupika data za kiuchumi kwa nini anatofaitiana na mamlaka rasmi za taarifa za makusanyo, nani kati ya serikali na yeye ndie mkweli, au yeye ndie anapika data for political mileage?.
2. Rais wa nchi ni kama baba kwenye familia, rais kasema makusanyo yameongezeka, kumbishia rais ili kuonyeshea rais anasema uongo, huu sio ukosefu wa adabu, heshima na nidhamu?.
Msisikilize Zitto Kabwe mwenyewe.
Paskali
Wewe tu, wengine ni kaka tu!!Yuko sahih umri wa JPM wengi wetu ni umri wa Wazazi

Ni sawa ila huyu mzazi ni m'baguziYuko sahih umri wa JPM wengi wetu ni umri wa Wazazi
Mnakubaligi ushahidi nyie mbululaz wa lumumba.zito bwana; ukimsikiliza utagundua kuwa hana takwimu kinzani ili kubackup argument yake kwamba takwimu zilizopo zimepikwa. Alichonacho ni hisia tu zinazotokana na kile anachokiita tafsiri ya takwimu zilizopo. Tafsiri inayoweza kuwa potofu.
Sio afya sana kisiasa kuja public kwa msukumo wa hisia tu, unahitajika kuwa na ushahidi kwani tuhuma anazotoa yeye zinahitaji ushahidi.
Bila kuwa na takwimu kinzani hoja yake inakosa Mashiko.
Kwa akili zako fupi unahisi gavana ni mtu wa kujibu hoja za kiuchumi tu? Kwani uchumi ni nini au we uchumi unafikili ni pesa tupaskali,mtafute na yule mwanasheria aliyepewa ugavana atuambie atawezaje kujenga hoja za kiuchumi mbele ya wanauchumi wa Benki ya Dunia,IMF na mbele ya magavana wenzie,
na atuambie yale makabati ya accounts aliyasomea wapu au mara ya mwisho aligusa daftari la somo la uchumi
Wanabodi
Nimekutana na Mhe. Zitto Kabwe katika event ya Policy Forum pale British Council last week, nimefanya nae a short interview ya maswali mawili tuu.
1. Hoja ya yeye kupika data za kiuchumi kwa nini anatofaitiana na mamlaka rasmi za taarifa za makusanyo, nani kati ya serikali na yeye ndie mkweli, au yeye ndie anapika data for political mileage?.
2. Rais wa nchi ni kama baba kwenye familia, rais kasema makusanyo yameongezeka, kumbishia rais ili kuonyeshea rais anasema uongo, huu sio ukosefu wa adabu, heshima na nidhamu?.
Msisikilize Zitto Kabwe mwenyewe.
Paskali
Ulechokiandika unalijua? au umepitiwa mkuumayala njaa mbaya.... Rais hafananishwi na baba mzazi waonbe radhi wazazi!
kinachonishangaza Ni wale wanaojaribu kumjibu zitto kwa kumshambulia yeye binafsi badala ya kumwaga data za ukweli!!
Kumitisha mtu hakusaidii ila kumjibu kwa facts tu ndio dawa pekee ila bahati mbaya kuanzia rais mpaka waajiriwa hawana data za kutosha!
Wewe ni kumwembe? , kama sie Basi mnafanana kwa factSasa Paskali mbona ndio umemuumiza zaidi president wetu? Yaani ni kama umempa Zitto nafasi ya kushindilia vizuri msumari, Lol!!
Nishawaambia Zitto asipewe nafasi ya kujieleza, bado hatuna mtu wa kujibishana nae kwa hoja na data. Atatuumbua zaidi