YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,900
- 52,056
Alikuwa akifanya kazi ya uajenti wa waagiza chakula nje ili awasaidie serikali iondoe kodi kwenye vyakula vya kutoka nje ya nchi kwani kuna crisis ya njaa.wakishaleta hawauzi wanafungia kwenye maghala ili waje wauze kwa bei ya kuruka.Kama hilo lingefanikiwa wafanyabiashara mafisadi wangejaza mipesa account zote za Zito kabwe kama asante kwa kazi nzuri.Ile ilikuwa gia ya kuwinda rushwaSiku mkikutana tena na Zitto, usisahau kumuuliza njaa aliyotwaminisha kuwa ipo, mbona hadi leo hajawahi kufa mtu na hiyo njaa aliyo twaminisha, na xile takwima za kwamba maghala hayana chakula wakati chakula kilikuwemo kwenye maghala alizipika au hakuzipika?