Menyainganyi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2013
- 1,170
- 1,106
Mwisho wa kuziba ziba vyanzo vya taarifa na data utakua nini...?!Ni kwamba nyufa zote ambazo zinavujisha ukisoaji Serikali zinazibwa haraka sana, tunaona kwenye Magazeti, Mitandao, mikutano ya siasa etc.
Sasa ikonekana kama utoaji wa data kila mwezi nao unachangia kwenye uchochezi then why not.
Ikiminywa hiyo ina maana next time Mh Zitto hatapata tena Data za kuikosoa Serikali.
Fikiria hivii.., kinazuka KIPINDUPINDU hapo manzese.., halafu wenye kudhibiti taarifa wanafanya yao kwa kudhibiti aibu.., nini kitatokea...?!