Angalizo la Kiusalama: Makabila Hayafanani. Usiparamie paramie watu bila kuwajua makabila yao

Pascal Mayalla

Platinum Member
Joined
Sep 22, 2008
Posts
59,804
Reaction score
134,593
Wanabodi

Huu ni uzi wa ushauri wa bure wa angalizo la kiusalama kuhusu makabila ya Tanzania hayafanani!,kuna makabila laini laini unaweza kuwachezea wengine hadi kucheza nao kidali po,na kuna makabila magumu magumu ambayo ni makabila very serious,sio makabila ya mchezo mchezo,haya sio makabila ya kuwachezea,unaweza kuumia!.

Makabila laini laini,ni makabila
ya ukanda wa Pwani na visiwani,vyakula vyao ni laini laini,kama wali,chapati,ndizi,chips,urojo etc,makabila magumu wanakula ugali, nyama,mihogo,etc. Je, Kuna Uhusiano wa Dini, Kabila na Ukakamavu? Watu wa Dini, Kabila fulani, ni wazuri zaidi jeshini kuliko dini, kabila nyingine?

Wamasai,Wahehe, Wangoni na Kanda ya Ziwa, Wasukuma,na watu wa Mara, sio makabila ya mchezo mchezo!,ni makabila ya wapiganaji,wapambanaji, shupavu sana!usiwachezee,ukiwaletea mchezo unaweza ukajikuta ume...!,naomba nisimalizie!

Lengo la ushauri huu,ni kuwapa watu angalizo,usiparamie paramie watu bila kwanza kuwajua makabila yao, utakuja kuumia bure!.

Wangoni asili yao ni Wazulu,walitoka Africa Kusini,wakiongozwa na Zongendamba,huko kote walikopita,waliwapiga wenyeji,kuchukua vyakula vyao,na kuwateka wanawake wao!.

Ukitangaza vita,na Mngoni,kama wewe ni mtu wa makabila laini laini,then unaweza kujikuta unaolewa!

Kuna makabila sio ya kuchezea!,sasa hivi,mtu unaweza kujikuta umegeuka historia

Paskali
 
Wanabodi

Huu ni uzi wa ushauri wa bure wa angalizo la kiusalama kuhusu makabila ya Tanzania hayafanani!,kuna makabila laini laini unaweza kuwachezea wengine hadi kucheza nao kidali po,na kuna makabila magumu magumu ambayo ni makabila very serious,sio makabila ya mchezo mchezo,haya sio makabila ya kuwachezea,unaweza kuumia!.

Makabila laini laini,ni makabila
ya ukanda wa Pwani na visiwani,vyakula vyao ni laini laini,kama wali,chapati,ndizi,chips,urojo etc,makabila magumu wanakula ugali, nyama,mihogo,etc.

Pollunium haihitaji misuli kuangamizia mtu, ni ujanja na mbinu ya kuwahiana tu.

Misuli ya ugali ama ulaini wa kula urojo hauna impact yoyote mweshimiwa.
 
Wanabodi

Huu ni uzi wa ushauri wa bure wa angalizo la kiusalama kuhusu makabila ya Tanzania hayafanani!,kuna makabila laini laini unaweza kuwachezea wengine hadi kucheza nao kidali po,na kuna makabila magumu magumu ambayo ni makabila very serious,sio makabila ya mchezo mchezo,haya sio makabila ya kuwachezea,unaweza kuumia!.

Makabila laini laini,ni makabila
ya ukanda wa Pwani na visiwani,vyakula vyao ni laini laini,kama wali,chapati,ndizi,chips,urojo etc,makabila magumu wanakula ugali, nyama,mihogo,etc.

Wamasai,Wahehe, Wangoni na Kanda ya Ziwa, Wasukuma,na watu wa Mara, sio makabila ya mchezo mchezo!,ni makabila ya wapiganaji,wapambanaji, shupavu sana!usiwachezee,ukiwaletea mchezo unaweza ukajikuta ume...!,naomba nisimalizie!

Lengo la ushauri huu,ni kuwapa watu angalizo,usiparamie paramie watu bila kwanza kuwajua makabila yao, utakuja kuumia bure!.

Wangoni asili yao ni Wazulu,walitoka Africa Kusini,wakiongozwa na Zongendamba,huko kote walikopita,waliwapiga wenyeji,kuchukua vyakula vyao,na kuwateka wanawake wao!.

Ukitangaza vita,na Mngoni,kama wewe ni mtu wa makabila laini laini,then unaweza kujikuta unaolewa!

Kuna makabila sio ya kuchezea!,sasa hivi,mtu unaweza kujikuta umegeuka historia

Paskali
Mbona umewasahau Kwa Tata Mwita,Kwa Speaker aliyejiondoa kuwania u speaker!?
 
Pasco ume kua interest na hii issue, tokea jana naona positive sana.
 
Back
Top Bottom