Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,804
- 134,593
Pollunium haihitaji misuli kuangamizia mtu, ni ujanja na mbinu ya kuwahiana tu.Wanabodi
Huu ni uzi wa ushauri wa bure wa angalizo la kiusalama kuhusu makabila ya Tanzania hayafanani!,kuna makabila laini laini unaweza kuwachezea wengine hadi kucheza nao kidali po,na kuna makabila magumu magumu ambayo ni makabila very serious,sio makabila ya mchezo mchezo,haya sio makabila ya kuwachezea,unaweza kuumia!.
Makabila laini laini,ni makabila
ya ukanda wa Pwani na visiwani,vyakula vyao ni laini laini,kama wali,chapati,ndizi,chips,urojo etc,makabila magumu wanakula ugali, nyama,mihogo,etc.
Wamasai,Wahehe, Wangoni na Kanda ya Ziwa, Wasukuma,na watu wa Mara, sio makabila ya mchezo mchezo!,ni makabila ya wapiganaji,wapambanaji, shupavu sana!usiwachezee,ukiwaletea mchezo unaweza ukajikuta ume...!,naomba nisimalizie!
Lengo la ushauri huu,ni kuwapa watu angalizo,usiparamie paramie watu bila kwanza kuwajua makabila yao, utakuja kuumia bure!.
Wangoni asili yao ni Wazulu,walitoka Africa Kusini,wakiongozwa na Zongendamba,huko kote walikopita,waliwapiga wenyeji,kuchukua vyakula vyao,na kuwateka wanawake wao!.
Ukitangaza vita,na Mngoni,kama wewe ni mtu wa makabila laini laini,then unaweza kujikuta unaolewa!
Kuna makabila sio ya kuchezea!,sasa hivi,mtu unaweza kujikuta umegeuka historia
Paskali
Mbona umewasahau Kwa Tata Mwita,Kwa Speaker aliyejiondoa kuwania u speaker!?Wanabodi

HatariPollunium haihitaji misuli kuangamizia mtu, ni ujanja na mbinu ya kuwahiana tu.
Misuli ya ugali ama ulaini wa kula urojo hauna impact yoyote mweshimiwa.
Pasco ume kua interest na hii issue, tokea jana naona positive sana.Wanabodi
Huu ni uzi wa ushauri wa bure wa angalizo la kiusalama kuhusu makabila ya Tanzania hayafanani!,kuna makabila laini laini unaweza kuwachezea wengine hadi kucheza nao kidali po,na kuna makabila magumu magumu ambayo ni makabila very serious,sio makabila ya mchezo mchezo,haya sio makabila ya kuwachezea,unaweza kuumia!.
Makabila laini laini,ni makabila
ya ukanda wa Pwani na visiwani,vyakula vyao ni laini laini,kama wali,chapati,ndizi,chips,urojo etc,makabila magumu wanakula ugali, nyama,mihogo,etc.
Wamasai,Wahehe, Wangoni na Kanda ya Ziwa, Wasukuma,na watu wa Mara, sio makabila ya mchezo mchezo!,ni makabila ya wapiganaji,wapambanaji, shupavu sana!usiwachezee,ukiwaletea mchezo unaweza ukajikuta ume...!,naomba nisimalizie!
Lengo la ushauri huu,ni kuwapa watu angalizo,usiparamie paramie watu bila kwanza kuwajua makabila yao, utakuja kuumia bure!.
Wangoni asili yao ni Wazulu,walitoka Africa Kusini,wakiongozwa na Zongendamba,huko kote walikopita,waliwapiga wenyeji,kuchukua vyakula vyao,na kuwateka wanawake wao!.
Ukitangaza vita,na Mngoni,kama wewe ni mtu wa makabila laini laini,then unaweza kujikuta unaolewa!
Kuna makabila sio ya kuchezea!,sasa hivi,mtu unaweza kujikuta umegeuka historia
Paskali
Umenikumbusha mbali sana!Mbona hujawataja Wasambaa ambao wana historia ya Shujaa wao Kibanga kumpiga Mkoloni!