Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Ni ushauri tu kwa CHADEMA, toka kwa kada wa siku nyingi wa wapinzani wenu CCM.
Mnaye kada wa chama chenu Tundu Lissu ambaye anajongea kiti cha uenyekiti wa CHADEMA.
Huyu Lissu anafaa nafasi ya storm toopers, askari wa kushambulia wapinzani wenu.
Lakini hafai hafai hafai kuwa Mwenyekiti atakayeweza kuongoza kiti cha chama , au kuwa mgombea wa kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Niliyoyaona kwa Lissu-
1. Anashambulia kila kitu hata akikalia kuti kavu
2. Hana staha kwatika maneno, hivyoo kuibua hasira(toka kwa Magufuli) ambazo nusura zimuondoe duniani
3. Hasikilizi na kukubaliana na wenzake kiurahisi akijua yeye ndiye ana fikra sahihi(zidumu fikra za Lissu)
4. Kiujumla ni mbishi
5. Kifamilia hayuko vizuri sana.
Siye tunaonya tu, fuatilia hizo points na mfikirie Magufuli katika kila point.
Tuliwahi kuonya juu ya Magufuli.
NB
This is NOT an endorsement ya Mbowe luwa Mwenyekiti.