Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 24,831
- 45,154
MmhAjisafishe kwanza yeye mwenyewe, uenyekiti wa chochote hawezi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmhAjisafishe kwanza yeye mwenyewe, uenyekiti wa chochote hawezi.
Huyu akikamata Uraisi, ataanza na Makonda....Ni ushauri tu kwa CHADEMA, toka kwa kada wa siku nyingi wa wapinzani wenu CCM.
Mnaye kada wa chama chenu Tundu Lissu ambaye anajongea kiti cha uenyekiti wa CHADEMA.
Huyu Lissu anafaa nafasi ya storm toopers, askari wa kushambulia wapinzani wenu.
Lakini hafai hafai hafai kuwa Mwenyekiti atakayeweza kuongoza kiti cha chama , au kuwa mgombea wa kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Niliyoyaona kwa Lissu-
1. Anashambulia kila kitu hata akikalia kuti kavu
2. Hana staha kwatika maneno, hivyoo kuibua hasira(toka kwa Magufuli) ambazo nusura zimuondoe duniani
3. Hasikilizi na kukubaliana na wenzake kiurahisi akijua yeye ndiye ana fikra sahihi(zidumu fikra za Lissu)
4. Kiujumla ni mbishi
5. Kifamilia hayuko vizuri sana.
Siye tunaonya tu, fuatilia hizo points na mfikirie Magufuli katika kila point.
Tuliwahi kuonya juu ya Magufuli.
NB
This is NOT an endorsement ya Mbowe luwa Mwenyekiti.
Mkuu Mungu kaisha amua ,no way , chombo kinaenda kutua pale , na hakuna namna , respect kwa Mh lissu na Mgombea mwenza ,Mh Heche , Mungu wangu anasema amemaliza kazi , subutu yao wajumbeNi ushauri tu kwa CHADEMA, toka kwa kada wa siku nyingi wa wapinzani wenu CCM.