Angalizo: Lissu ni kama Magufuli , mihemuko mingi na one-man-show kwa kwenda mbele!

Huyu akikamata Uraisi, ataanza na Makonda....
 
Mkuu Mungu kaisha amua ,no way , chombo kinaenda kutua pale , na hakuna namna , respect kwa Mh lissu na Mgombea mwenza ,Mh Heche , Mungu wangu anasema amemaliza kazi , subutu yao wajumbe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…