SiliconValley
Member
- Oct 17, 2018
- 56
- 59
Je tayari mna matokeo ya Cape Verde vs Lesotho, maana humjui kama mnacheza karata 2 kwa wakati mmoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tuliza Mchecheto Wewe Hujui Taifa Stars Wanawakilisha Taifa. Tena Wakishinda Jumatatu Ni Mapumziko Hakuna Kufanya Kazi Nchi Nzima
naunga mkono hoja .... Kama Bashite ndiye muhamasishaji sitashangilia Taifa Stars .... huyu hajawahi wala hana nia ya kuliunganisha taifaUganda 3 Tanzania 0 , Matokeo yakiwa hivyo naenda kutoa fungu la kumi kanisani
Sent using Jamii Forums mobile app
"Mimi ndio mkuu wa huu mkoa. Na huu mkoa ndio wa kwangu. Sijakabidhiwa kwa majaribio. Nimekabidhiwa kuongoza, nitabadilisha route zote kwenda uwanja wa taifa. Tukishinda tunafunga baadhi ya mitaa, vinywaji vyote vinauzwa kwa nusu bei kwa zaidi ya saa sita."
- Daudi Albert Bashite
😳😁🙌🏾👆🏾
Ni wazi kutakuwa na uvunjifu wa maadili kwa kuchochea unywaji wa kupindukia kwasababu tu timu imeshinda. Unafungaje mitaa ili watu wasiokuwa na shughuli za mpira wasiendelee na shughuli zao za maisha ya kila siku? Sioni kama huu ni uhamasishaji ila ni kuonesha ubabe na ulevi wa madaraka tu. Tayari mwenyekiti wa uhamasishaji kesha wakatisha tamaa wengi. Yeye silaha yake kubwa ni wasanii kwa kila jambo. Najiuliza hiyo nusu ya bei inayobaki analipa nani?[/QUOTE
Sijui kwa hili, ila huyo jamaa hajawahi kufanikiwa popote anapoanzisha jambo lolote..Ana KIBRI sana huyu Dogo.
Sasa kumsifia rais na serikali kunaisaidia vipi Taifa Stars kushinda? Makonda ameteuliwa kuongoza kamati ya kusaidia Timu ya Taifa ishinde,ameacha kufanya kazi hiyo badala yake anafanya propaganda za kisiasa!Rais ni raia namba moja, taswira ya nchi, mkuu wa dola na serikali, unataka asifiwe nani? Hakuna mbadala wa rais. Ingekuwa tunao marais zaidi ya mmoja, basi tungemuhoji Makonda, "kwanini unamsifia mmoja wengine husifii?" Kwahiyo kuwa mpole akiingia wa kwako naye tutasifia.
Mapembelo mvina laki si Sanga!Tuliza Mchecheto Wewe Hujui Taifa Stars Wanawakilisha Taifa. Tena Wakishinda Jumatatu Ni Mapumziko Hakuna Kufanya Kazi Nchi Nzima
RC wa MwanzaKuna kiongozi mmoja nasikia kasema ushindi wa Simba ni utekelezaji wa ilani ya chama chao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upumbavu huuUganda 3 Tanzania 0 , Matokeo yakiwa hivyo naenda kutoa fungu la kumi kanisani
Sent using Jamii Forums mobile app
tutaungana pamoja, kwenda kutoa fungu la kumi, nothing newUganda 3 Tanzania 0 , Matokeo yakiwa hivyo naenda kutoa fungu la kumi kanisani
Sent using Jamii Forums mobile app