Angalizo: Makonda akiendeleza siasa kwenye maandalizi ya Taifa Stars atawagawa watanzania

"Mother fu**ck, wanafiki wa madaraka" in Roma Mkatoliki voice.
Siasa na ukuu umekuwa sasa ni lile vazi la mfalme.. Yaani anasema chochote na popote na kwa lolote.
Ukiwaita wamelewa madaraka wanakataa.

Kuna damu zinawatafuna hawa sio bure.
 
HUwezi kuwakilisha taifa kwa ujinga badala ya hekima akili na ubunifu, kwanza mil 50 yetu wamerudisha? mechi ya ushindi tuliichezea huko Lesotho, kuwafunga UGANDA ni suala la kumjaribu bwana mungu wetu, hatukuwafunga Lesotho taifa iwe UGANDA, hiyo ni upungufu wa akili, tuombe mungu lakni sio kwa kutumia nguvu na majigambo kama ya Wema na Steve Nyerere.

MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU TUPE WEPESI TUFINGE UGANDA japo bado tunaombe Utusaidie Lesotho akae kwa Cape Verde kitu ambacho ni obvious lakn sio kwa TZ kufunga the Cranes.

Tuliza Mchecheto Wewe Hujui Taifa Stars Wanawakilisha Taifa. Tena Wakishinda Jumatatu Ni Mapumziko Hakuna Kufanya Kazi Nchi Nzima
 
 
Vinywaji vikiuzwa nusu bei, nusu itakayobaki atalipa nani?.
 
nusu bei anamiliki bar hapa mjini? mangi auze bia buku kisa makonda kasema wapi na wapi
 
Sasa kumsifia rais na serikali kunaisaidia vipi Taifa Stars kushinda? Makonda ameteuliwa kuongoza kamati ya kusaidia Timu ya Taifa ishinde,ameacha kufanya kazi hiyo badala yake anafanya propaganda za kisiasa!
 
Kwanini mtu anapata div zero anakuwa na majukumu makubwa na nguvu kubwa kama hiyo? elimu ni BURE ama sis tumekosea sana hapa TZ? njombe nako zero, why study science then?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…