Simba hawakilishi taifa? Hayo mapumziko ya Makonda hayatakuwa hata Stars ikishinda, yatawezekana tu iwapo Stars itabeba kombe la Afrika, aliyosema Makonda ni porojo za siasa.Tuliza Mchecheto Wewe Hujui Taifa Stars Wanawakilisha Taifa. Tena Wakishinda Jumatatu Ni Mapumziko Hakuna Kufanya Kazi Nchi Nzima
Uganda 3 Tanzania 0 , Matokeo yakiwa hivyo naenda kutoa fungu la kumi kanisani
Sent using Jamii Forums mobile app
"Mimi ndio mkuu wa huu mkoa. Na huu mkoa ndio wa kwangu. Sijakabidhiwa kwa majaribio. Nimekabidhiwa kuongoza, nitabadilisha route zote kwenda uwanja wa taifa. Tukishinda tunafunga baadhi ya mitaa, vinywaji vyote vinauzwa kwa nusu bei kwa zaidi ya saa sita."
- Daudi Albert Bashite
😳😁🙌🏾👆🏾
Ni wazi kutakuwa na uvunjifu wa maadili kwa kuchochea unywaji wa kupindukia kwasababu tu timu imeshinda. Unafungaje mitaa ili watu wasiokuwa na shughuli za mpira wasiendelee na shughuli zao za maisha ya kila siku? Sioni kama huu ni uhamasishaji ila ni kuonesha ubabe na ulevi wa madaraka tu. Tayari mwenyekiti wa uhamasishaji kesha wakatisha tamaa wengi. Yeye silaha yake kubwa ni wasanii kwa kila jambo. Najiuliza hiyo nusu ya bei inayobaki analipa nani?
zaidi ya kulala na mkewe huyu hana jambo alililo wala atakalofanikiwa huyu bashite ni mpuuzi"Mimi ndio mkuu wa huu mkoa. Na huu mkoa ndio wa kwangu. Sijakabidhiwa kwa majaribio. Nimekabidhiwa kuongoza, nitabadilisha route zote kwenda uwanja wa taifa. Tukishinda tunafunga baadhi ya mitaa, vinywaji vyote vinauzwa kwa nusu bei kwa zaidi ya saa sita."
- Daudi Albert Bashite
😳😁🙌🏾👆🏾
Ni wazi kutakuwa na uvunjifu wa maadili kwa kuchochea unywaji wa kupindukia kwasababu tu timu imeshinda. Unafungaje mitaa ili watu wasiokuwa na shughuli za mpira wasiendelee na shughuli zao za maisha ya kila siku? Sioni kama huu ni uhamasishaji ila ni kuonesha ubabe na ulevi wa madaraka tu. Tayari mwenyekiti wa uhamasishaji kesha wakatisha tamaa wengi. Yeye silaha yake kubwa ni wasanii kwa kila jambo. Najiuliza hiyo nusu ya bei inayobaki analipa nani?
Eti kitengo, unataka watu aongelee kitu kimoja kwa siku ngapi, jambo lolote likijitokeza linapaswa kujadiliwa likishaeleweka linakufa lenyewe by natural death. Maalimu ni Zitto leo wako Pemba na kazi zingine zinaendelea kama kawaida.[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mitanzania inazungushwa kama saa!
Tumeacha ya Maalim Seif na safali hii tuko kwenye mpira!
Shikamo wana kitengo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kichwa cha Mwendawazimu lazima kinyolewe
Amen na litafungwa tu Hilo genge
Yes hawa ndio wazalendo wa kweli. Hata wakihamasisha ntawaunga mkono lakini sio bashite na genge lake la wahuniSubri Halima Mdee na Bulaya waje wakuhamasishe ili ujisikie uTanzania wako.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona mashabiki wa Christian Ronaldo wanahama nae kila anapoenda.....kwann mashabiki wa okwi tusihame naeHiyo ni national timu...siyo timu fulani..hapo siyo suala la ushabiki...ni suala la kitaifa...ila ni kweli kumhusisha huyo sijui nani naona ni kosa kubwa la kimkakati...Huyo abaki na mambo ya Dar es Salaam...Nasikitika sana kuwa na watu ndani ya TFF wasiopima issues...hovyokabisa...
Tff yenyewe imekua kama tawi la ccm. Ni upuuzi mtupu unaendelea..Hiyo ni national timu...siyo timu fulani..hapo siyo suala la ushabiki...ni suala la kitaifa...ila ni kweli kumhusisha huyo sijui nani naona ni kosa kubwa la kimkakati...Huyo abaki na mambo ya Dar es Salaam...Nasikitika sana kuwa na watu ndani ya TFF wasiopima issues...hovyokabisa...