Angalizo: Makonda akiendeleza siasa kwenye maandalizi ya Taifa Stars atawagawa watanzania

Angalizo: Makonda akiendeleza siasa kwenye maandalizi ya Taifa Stars atawagawa watanzania

Tuliza Mchecheto Wewe Hujui Taifa Stars Wanawakilisha Taifa. Tena Wakishinda Jumatatu Ni Mapumziko Hakuna Kufanya Kazi Nchi Nzima
Simba hawakilishi taifa? Hayo mapumziko ya Makonda hayatakuwa hata Stars ikishinda, yatawezekana tu iwapo Stars itabeba kombe la Afrika, aliyosema Makonda ni porojo za siasa.

Vv

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu keshaingilia hili suala ujue tayari tushafungwa...ndege wa Joni ndege Joni
 
"Mimi ndio mkuu wa huu mkoa. Na huu mkoa ndio wa kwangu. Sijakabidhiwa kwa majaribio. Nimekabidhiwa kuongoza, nitabadilisha route zote kwenda uwanja wa taifa. Tukishinda tunafunga baadhi ya mitaa, vinywaji vyote vinauzwa kwa nusu bei kwa zaidi ya saa sita."
- Daudi Albert Bashite
😳😁🙌🏾👆🏾

Ni wazi kutakuwa na uvunjifu wa maadili kwa kuchochea unywaji wa kupindukia kwasababu tu timu imeshinda. Unafungaje mitaa ili watu wasiokuwa na shughuli za mpira wasiendelee na shughuli zao za maisha ya kila siku? Sioni kama huu ni uhamasishaji ila ni kuonesha ubabe na ulevi wa madaraka tu. Tayari mwenyekiti wa uhamasishaji kesha wakatisha tamaa wengi. Yeye silaha yake kubwa ni wasanii kwa kila jambo. Najiuliza hiyo nusu ya bei inayobaki analipa nani?

Tatizo la soccer hata aongee mtu kuwa anamiliki bara la africa achilia mbali jiji la dar, maandalizi ya timu, upangaji sahihi wa timu, majukumu na kujituma ndo huwa vinaleta matokeo, sasa mchezaji nacheza mpira huku anawaza yule jamaa anayemchukia ndo mkuu wa kuhamasisha ushindi unafkiri itakuwaje? tuseme tu ukweli, kuna timu huwa zinafungiwa zinacheza bila mashabiki wao na zinashinda vilevile, sasa hapa kwetu ni kipi tunahamasisha haswa hadi kumuweka mtu ambaye kwa asilimia kubwa hakubaliki katika nchi kuwa kiongozi wa kamati ya ushindi? ni nini haswa tunatafuta? hizi siasa zetu hizi.
 
Wauza vinywaji lazima waunde kamati ya fitina kuhakikisha tunafungwa haiwezekan faida ya bia shilingi mia tatu alafu uuze upate hasara 700
 
"Mimi ndio mkuu wa huu mkoa. Na huu mkoa ndio wa kwangu. Sijakabidhiwa kwa majaribio. Nimekabidhiwa kuongoza, nitabadilisha route zote kwenda uwanja wa taifa. Tukishinda tunafunga baadhi ya mitaa, vinywaji vyote vinauzwa kwa nusu bei kwa zaidi ya saa sita."
- Daudi Albert Bashite
😳😁🙌🏾👆🏾

Ni wazi kutakuwa na uvunjifu wa maadili kwa kuchochea unywaji wa kupindukia kwasababu tu timu imeshinda. Unafungaje mitaa ili watu wasiokuwa na shughuli za mpira wasiendelee na shughuli zao za maisha ya kila siku? Sioni kama huu ni uhamasishaji ila ni kuonesha ubabe na ulevi wa madaraka tu. Tayari mwenyekiti wa uhamasishaji kesha wakatisha tamaa wengi. Yeye silaha yake kubwa ni wasanii kwa kila jambo. Najiuliza hiyo nusu ya bei inayobaki analipa nani?
zaidi ya kulala na mkewe huyu hana jambo alililo wala atakalofanikiwa huyu bashite ni mpuuzi
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Mitanzania inazungushwa kama saa!

Tumeacha ya Maalim Seif na safali hii tuko kwenye mpira!

Shikamo wana kitengo

Sent using Jamii Forums mobile app
Eti kitengo, unataka watu aongelee kitu kimoja kwa siku ngapi, jambo lolote likijitokeza linapaswa kujadiliwa likishaeleweka linakufa lenyewe by natural death. Maalimu ni Zitto leo wako Pemba na kazi zingine zinaendelea kama kawaida.
 
Let's go Uganda
Let's go Lesotho
Hawa mapoyoyo tutabaki nayo hapa hapa hawaendi popote kule.
MUNGU IBARIKI UGANDA
MUNGU IBARIKI LESOTHO.
AMEN.
Tusipangiane vitu vya kufanya.
 
Hiyo ni national timu...siyo timu fulani..hapo siyo suala la ushabiki...ni suala la kitaifa...ila ni kweli kumhusisha huyo sijui nani naona ni kosa kubwa la kimkakati...Huyo abaki na mambo ya Dar es Salaam...Nasikitika sana kuwa na watu ndani ya TFF wasiopima issues...hovyokabisa...
Mbona mashabiki wa Christian Ronaldo wanahama nae kila anapoenda.....kwann mashabiki wa okwi tusihame nae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo ni national timu...siyo timu fulani..hapo siyo suala la ushabiki...ni suala la kitaifa...ila ni kweli kumhusisha huyo sijui nani naona ni kosa kubwa la kimkakati...Huyo abaki na mambo ya Dar es Salaam...Nasikitika sana kuwa na watu ndani ya TFF wasiopima issues...hovyokabisa...
Tff yenyewe imekua kama tawi la ccm. Ni upuuzi mtupu unaendelea..
 
Back
Top Bottom