Angalizo: Makonda akiendeleza siasa kwenye maandalizi ya Taifa Stars atawagawa watanzania

Maswala ya Mpira wapewe wanamichezo , wapo wakongwe ktk gemu hasa soccer , wapo hai wengi tu , sio akina sepetu, jb, gigy money, nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi haya mambo mtu unapewa au kila mtu anafanya kwa wakati wake na nafasi yake, kwahiyo kabla hao wanasiasa hawajachukua platform ingebidi hao wanamichezo wakongwe wawe frontline sio kusubiri kuitwa
 
Si kila jambo ni kukosoa hekima na busara ndio direction ya maisha please ndugu jitakari na uwe na akiba ya maneno
siwez ficha mimi mshabiki wa simba kindaki ndaki tena sio kidogo ila nimekaa nimeangalia hili swala lilivyopelekwa sina wasi hii game tunafungwa tena nasema tunafungwa Tukutane hapa jukwaani jumapili jion




Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mshabiki wa uganda the cranes niko tayari kuwashabikia bassebo pale taifa, tugende tukubye taifa stars [emoji1254][emoji1254][emoji1254]

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
Upuuzi mtupu, hama nchi kama uko na Rais wako tofauti na Magufuli mfuate hukohuko, Tanzania iko na mkuu wa nchi mmoja tu, anayehisi kumtambua ni kuligawa Taifa ahame nchi.

Sent using Jamii Forums mobile app
UGANDA HOYEEEE[emoji1254][emoji1254] tugende tukole

MHUBIRI 4:13 SUV

"Heri kijana maskini mwenye hekima Kuliko mfalme mzee mpumbavu. ambaye hajui tena kupokea maonyo."
 
Binafsi jpili hii nitakua upande wa UGANDA
siwezi kuhamasishwa kushangilia na kina Wema, Steve, JB & CO
Usijali, makwazo hayana budi kutokea. Kesho Shangilia Taifa stars kwa nguvu zote bila kujaliusanii wa wasanii na DAB wao!
 
Kuna POINT hapa
 
"Tutawashuhulikia wote wanaoleta utundu lissu" By rais wa TFF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watanzania tukumbuke Taifa stars inawakilisha Tanzania yetu na sio mrengo, itikadi au chama cha siasa twendeni uwanjani tukaishangilie na Ushindi wao utatuunganisha sote kama taifa! Kila laheri Taifa stars 🌟 🌟
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…