MasterP.
JF-Expert Member
- Jun 5, 2013
- 8,063
- 6,405
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi haya mambo mtu unapewa au kila mtu anafanya kwa wakati wake na nafasi yake, kwahiyo kabla hao wanasiasa hawajachukua platform ingebidi hao wanamichezo wakongwe wawe frontline sio kusubiri kuitwaMaswala ya Mpira wapewe wanamichezo , wapo wakongwe ktk gemu hasa soccer , wapo hai wengi tu , sio akina sepetu, jb, gigy money, nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
siwez ficha mimi mshabiki wa simba kindaki ndaki tena sio kidogo ila nimekaa nimeangalia hili swala lilivyopelekwa sina wasi hii game tunafungwa tena nasema tunafungwa Tukutane hapa jukwaani jumapili jion
Sent using Jamii Forums mobile app
UGANDA HOYEEEE[emoji1254][emoji1254] tugende tukoleUpuuzi mtupu, hama nchi kama uko na Rais wako tofauti na Magufuli mfuate hukohuko, Tanzania iko na mkuu wa nchi mmoja tu, anayehisi kumtambua ni kuligawa Taifa ahame nchi.
Sent using Jamii Forums mobile app
hana vyeti mkuu ataachaje kujipendekezahuyu jamaa anajipendekeza hadi huwa anaboa sasa
Usijali, makwazo hayana budi kutokea. Kesho Shangilia Taifa stars kwa nguvu zote bila kujaliusanii wa wasanii na DAB wao!Binafsi jpili hii nitakua upande wa UGANDA
siwezi kuhamasishwa kushangilia na kina Wema, Steve, JB & CO
Very sad, lakini tutashinda hata usiposhangilia!Kichwa cha Mwendawazimu lazima kinyolewe
Kuna POINT hapaHeshima kwenu wanajamvi.
Natoa tahadhari kwa TFF na watanzania kwa ujumla kuwa makini na propaganda za kisiasa zinazofanywa na mkuu wa mkoa wa Dsm Paul Makonda kila anapozungumzia maandalizi ya mchezo wa Taifa Stars dhididi ya Uganda.
Makonda anatumia nafasi aliyopewa ya mwenyekiti wa kamati ya maandalizi kumsifia rais na serikali badals ya kuwahamasisha watanzania kuisapoti timu ya taifa.
Natoa angalizo kwa TFF kuacha kuwateua wanasiasa kwenye masuala ya mpira kwani kunawagawa watanzania badala ya kuwaunganisha.
Hapana mkuu! ombea washinde na wafuzu Afcon wao wanawakilisha Tz hayo mengine tujadili baadae.
Wema sepetu na stive nyerere wanatosha kumaliza hilo swala,kwenye mambo muhimu kama haya viongozi wa upinzani huwa hawaonekani wanaonekana kwenye kulaumu tu..
"Tutawashuhulikia wote wanaoleta utundu lissu" By rais wa TFFSina tatizo na hilo, ingawa hiyo ni perception tu..Binafsi mimi sijaona kuwa TFF ni tawi la CCM, ila ni kweli hao TFF nadhani wengi wao hawajui wanachofanya...Hawana mikakati, hawaangalii masuala ya michezo ...nadhani wapo kimaslahi zaidi..Yaani kumleta Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam eti kuwa mhamasishaji??? They are not serious at all...Yaani nimeangalia ile kamati ...nimeshanggaa...yaani eti hata...Mungu anisaidie nisitaje majina...sijui wanenguaji...sijui wengine ni watu wa kujikomba...yaani kimsingi hawana sifa kabisa...watu muhimu wa soka...kama akina Kibadeni, Kitwana na wengine kadhaa hawamo...Hivi kuhamasisha maana yake ni nini hasa??!! My God...Nimesoma leo mahali timu ya Arusha United imejitoa kwenye ligi daraja la kwanza kwa sababu ambazo ukizisikia kama ni za kweli zinatisha kabisa....Ligi Kuu iko raundi ya lala salama sina hakika kama Simba imeshacheza mchezo hata mmoja na Kagera au Mtibwa...Sina hakika kama Yanga imecheza hata mchezo mmoja na Azam...Ni ngumu kuielewa hali hii....Yaani wahamasishaji ni wanenguaji, na baadhi yao hata moral aspect haipo kabisa ndani ya jamii...Ni maajabu...Binafsi nilikuwa na nia kwenda kuishangilia Taifa Stars yetu..lakini siendi kabisa...ikishinda nitashangilia ikifungwa nitasikitika kama Mtanzania....Upo wakati mtu mmoja anaongoza mkoa wa Dar es Salaam Simba na Yanga wanacheza yeye anavaa T shirt ya timu mojawapo...dah ...
Kanisa Vs UgandaTanzania kila kitu lazima tuchomeke siasa. Nasema hivi wapigwe tu.
Kwanini wamewatanguliza wanasiasa lwenye hii mechi??Watanzania tukumbuke Taifa stars inawakilisha Tanzania yetu na sio mrengo, itikadi au chama cha siasa twendeni uwanjani tukaishangilie na Ushindi wao utatuunganisha sote kama taifa! Kila laheri Taifa stars [emoji93] [emoji93]