Angalizo: Makonda akiendeleza siasa kwenye maandalizi ya Taifa Stars atawagawa watanzania

Sorry walitoa sababu gani hao vijana wa Arusha?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sorry walitoa sababu gani hao vijana wa Arusha?

Sent using Jamii Forums mobile app


Sababu nyingi tu..upendeleo wa waziwazi, kupigwa na mashabiki wa timu mwenyeji, kutokuwepo kwa ulinzi kwa maana kutokuwepo kwa polisi uwanjani wakienda polisi kushitaki wanaambiwa wao walikuwa hawana taarifa ya kuwepo kwa mechi, kukatazwa kupiga video za ushahidi, malalamiko yao kutosikilizwa na kadhalika na kadhalika....
 
Write your reply...Eti mgonjwa yuko mahututi i.c.u ndo mnakuja ndugu wa marehemu ...tena mnakuja na magari ya kifakhari ...mnamletea mgonjwa chipsi kuku na vinywaji mbalimbali ...wakati mwanzo gharama za matibabu ni 2000 tu ...Tanzania kuna raia wa ajabu kweli ...eti matokeo ya kufuzu pia tunayapigia ramli
 
Hii kamati ni unafiki mtupu.. walikuwa wapi?..
Ok poa #NI ZAMU YETU.
 
Sasa kumsifia rais na serikali kunaisaidia vipi Taifa Stars kushinda? Makonda ameteuliwa kuongoza kamati ya kusaidia Timu ya Taifa ishinde,ameacha kufanya kazi hiyo badala yake anafanya propaganda za kisiasa!
Yaa Ukimsifia rais Taifa stars inashinda. Ninajua ukiimba hata hymn fupi tuu kuwa "Mungu ni mwema" shetani lazima achukie, sembuse kumsifia rais?
 
Kazi kweli kweli.........sijui tulikuwa wapi tangu mwanzo mechi ile ya Lesotho chamazi.....Tz tunapenda sana zima moto na shortcut,saiz tunaomba tushinde eti tunawaombea Lethoto wapigwe...Tz buana
Ukiwa mnafiki usiwe msahaulifu.
Baada ya Stars kushinda ulikuwa mstari wa mbele kutoa pongezi. Kabla ya hapo ulikuwa unaponda.
 
Huu ndio upuuzi wa mwaka.Kila kitu siasa, wewe ulibaki nyumbani sisi tulienda uwanjani na ushindi ulipatikana.
 
Reactions: Tui
Ukiwa mnafiki usiwe msahaulifu.
Baada ya Stars kushinda ulikuwa mstari wa mbele kutoa pongezi. Kabla ya hapo ulikuwa unaponda.
We ndo jinga kabisa unataka jambo linapokosewa ushangilie tu,tumia akili yako usishikiwe zuzu wewe, we unaona ni sawa jambo kila mara kufanyika kizima moto wakati tulikuwa na nafasi tangu game one.
Jinga kabisa
 
Si makonda tu Kuna mtu anaitwa polepole naye analeta UCCM kwenye timu ya Taifa.

Kwamba Ushindi ule ni matokeo na mkakati wa CCM. Wakati jana hakuna aliyeenda Uwanjani kwa kadi yake ya Chama bali Uzalendo.

Ni Ujinga sana. Mbona YANGA wanashindwa kuisaidia mpaka imekuwa Omba omba bakuli.
 
We ndo jinga kabisa unataka jambo linapokosewa ushangilie tu,tumia akili yako usishikiwe zuzu wewe, we unaona ni sawa jambo kila mara kufanyika kizima moto wakati tulikuwa na nafasi tangu game one.
Jinga kabisa
Halafu ikawaje kwenye matokeo.Hakuna aliye kamili na kinachoja matter ni matokeo. Wewe hata matokeo hukuamini.
Umekalia unafiki. Matokeo yasibadili msimamo wako.Popoma kuwa na msimamo na wacha kujifanya ulikosoa kwa nia njema.Mchawi hana sababu.
 
Halafu ikawaje kwenye matokeo.Hakuna aliye kamili na kinachoja matter ni matokeo. Wewe hata matokeo hukuamini.
Umekalia unafiki. Matokeo yasibadili msimamo wako.Popoma kuwa na msimamo na wacha kujifanya ulikosoa kwa nia njema.Mchawi hana sababu.
Ukiwa unafikiria kupitia makalio ndo shida yake hii Usilazimishe kila jambo kushangilia tu,tumia na akili yako,hata mpira wenyewe sijui kama hata unafatilia nyie ndo mnasubilia hamasa ,Ungekuwepo siku ya game one pale chamazi na Lethoto usingekuwa unalopoka lopoka kama mwendawazimu
 
Kwani wewe kazi yako nini unapokwenda uwanjani?Kama si kushangilia.?
Unajifanya kocha? Pamoja na doomsayers na doubting thomases kama wewe Taifa Stars imeshinda.
Kilichotakikana kimepatikana. MEZA WEMBE POPOMA.
 
Game one???Lethoto?Jifunze kuandika kabla huja act mchambuzi uchwara.
 
Na kweli utaponikuta na taulo la mama yako ndio utaacha kutukana.
 
TFF wanalazimishwa sio hiari yao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…