Valentina
JF-Expert Member
- Oct 12, 2013
- 24,684
- 28,777
Sorry walitoa sababu gani hao vijana wa Arusha?Sina tatizo na hilo, ingawa hiyo ni perception tu..Binafsi mimi sijaona kuwa TFF ni tawi la CCM, ila ni kweli hao TFF nadhani wengi wao hawajui wanachofanya...Hawana mikakati, hawaangalii masuala ya michezo ...nadhani wapo kimaslahi zaidi..Yaani kumleta Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam eti kuwa mhamasishaji??? They are not serious at all...Yaani nimeangalia ile kamati ...nimeshanggaa...yaani eti hata...Mungu anisaidie nisitaje majina...sijui wanenguaji...sijui wengine ni watu wa kujikomba...yaani kimsingi hawana sifa kabisa...watu muhimu wa soka...kama akina Kibadeni, Kitwana na wengine kadhaa hawamo...Hivi kuhamasisha maana yake ni nini hasa??!! My God...Nimesoma leo mahali timu ya Arusha United imejitoa kwenye ligi daraja la kwanza kwa sababu ambazo ukizisikia kama ni za kweli zinatisha kabisa....Ligi Kuu iko raundi ya lala salama sina hakika kama Simba imeshacheza mchezo hata mmoja na Kagera au Mtibwa...Sina hakika kama Yanga imecheza hata mchezo mmoja na Azam...Ni ngumu kuielewa hali hii....Yaani wahamasishaji ni wanenguaji, na baadhi yao hata moral aspect haipo kabisa ndani ya jamii...Ni maajabu...Binafsi nilikuwa na nia kwenda kuishangilia Taifa Stars yetu..lakini siendi kabisa...ikishinda nitashangilia ikifungwa nitasikitika kama Mtanzania....Upo wakati mtu mmoja anaongoza mkoa wa Dar es Salaam Simba na Yanga wanacheza yeye anavaa T shirt ya timu mojawapo...dah ...
Sent using Jamii Forums mobile app