Angalizo: Makonda akiendeleza siasa kwenye maandalizi ya Taifa Stars atawagawa watanzania

Kazi kweli kweli.........sijui tulikuwa wapi tangu mwanzo mechi ile ya Lesotho chamazi.....Tz tunapenda sana zima moto na shortcut,saiz tunaomba tushinde eti tunawaombea Lethoto wapigwe...Tz buana
Tumezoea mambo ya ki zima moto!! Toka mwanzoni walikuwepo ngoma inapokuwa ngumu ndio wanakuja na slogan za ajabu ajabu!!! Mpira ni maandaliza na sio siasa, eti pombe zitauzwa nusu bei!!! Sasa hivi husikii kocha anashutumiwa bado muda wake, ngoja baada ya mechi halafu matokeo yawe yale ambayo ndio stahiki yetu.
 
Mfano ni Uganda timu yao inayokuja kucheza afcon Tz ya vijana under 17 imeenda kujiandaa south Africa,sisi tunasubilia miujiza na kauli za kijinga za kina Makonda eti mashehe,wachungaji waombee timu ishinde.....kila jambo tunadhani ni miujiza tu bila maandalizi.
 
Hii political mentality nnayoiona hapa kama ipo kwa wachezaji pia, nnaona tumeshafungwa kabla ya mechi, Ila kwa spirit ya Utanzania wangu naiombea Taifa Stars ishinde, Ushindi wao is proud to us all beyond our borders🙏🏼🙏🏼
 
Wameshaona watu mazuzu!! Ndio maana humo mtu achomekee na siasa!! Mpenzi wa mpira hapelekwi uwanjani kwa matamko/kuombwa bali huenda mwenyewe kutokana na matokeo mazuri ya timu!!! Mala eti PM, waombe mizimu ya baba yako huko!!! Mala daladala zote siku hiyo ruksa kutofuata route zao wewe watoe sehemu yoyote wapeleke taifa, ukikamatwa nipigie simu!!!! Kweli afrika ni tabu toka lini mtu anafundishwa /hamasishwa UZALENDO??? Hicho ni kitu ambacho mtu anazaliwa nacho ila kutokana na uhuni wa viongozi wetu mtu lazima uzalendo upoteee!!! Kama juzi tu simba kushinda tayari imesha kuwa ni agenda ya kisiasa, RC anasema ni matokeo ya kutekereza ilani ya CCM!!!, We subilia mungu sio mzee mkumba kunguru mala pa amemnyea mtu!!! Tayari itaingia kwenye ahadi za 2015-2020!!!
 
Kuelekea 2020 tutaona mengi sana mkuu,hata ligi mitaani na printed t-shirt za wanasiasa utaona.......uzalendo ni automatic tu,nakumbuka game ya kwanza kabisa Lethoto pale chamazi mm nilikuwepo, uwanja unacapacity ya kubeba around watu elf 7 ila haukujaa na hakuna hakuna alikuwa na mzuka na kelele hizi,Sasa saizi wanaboa sana hadi eti kina wema sepetu? Aaah kila mtu anataka eti kuandika historia
 
Upo sahihi
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yani bashite kuhusika tu tayari tushafungwa, mimi niko pia upande wa Uganda kwani siwezi kaa sehemu moja na DAB


Sent using Jamii Forums mobile app
Na jinsi watu walivyojazwa upepo(matumaini) haki ya mungu hiyo jpili, uonekane mbongo una jezi ya the cranes taifa, utashambuliwa tena mbele ya polisi kabisa!! Kuwa wewe ni adui wa taifa!!! Au itokee okwi aifungie timu yake bao la ushindi bwana weee, kwa akili za washabiki wa kibongo atatangazwa kuwa ni adui wa taifa, na atapata tabu sana kuishi Tz!! Wakati kwa waelewa ni kawaida tu.
 
Kuunga mkono juhudi za mtukufu malaika toka chato pengine ndiyo Sumu ya maendeleo kwa sasa kwani wengi huunga mkono kinafiki wapate vyeo madaraka nk kwenye michezo kumweka Bashite Maliyamungu ni jambo la kusikitisha kwani Wapinzani wote hawatakwenda uwanjani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…