Wameshaona watu mazuzu!! Ndio maana humo mtu achomekee na siasa!! Mpenzi wa mpira hapelekwi uwanjani kwa matamko/kuombwa bali huenda mwenyewe kutokana na matokeo mazuri ya timu!!! Mala eti PM, waombe mizimu ya baba yako huko!!! Mala daladala zote siku hiyo ruksa kutofuata route zao wewe watoe sehemu yoyote wapeleke taifa, ukikamatwa nipigie simu!!!! Kweli afrika ni tabu toka lini mtu anafundishwa /hamasishwa UZALENDO??? Hicho ni kitu ambacho mtu anazaliwa nacho ila kutokana na uhuni wa viongozi wetu mtu lazima uzalendo upoteee!!! Kama juzi tu simba kushinda tayari imesha kuwa ni agenda ya kisiasa, RC anasema ni matokeo ya kutekereza ilani ya CCM!!!, We subilia mungu sio mzee mkumba kunguru mala pa amemnyea mtu!!! Tayari itaingia kwenye ahadi za 2015-2020!!!