Angalizo: Makonda akiendeleza siasa kwenye maandalizi ya Taifa Stars atawagawa watanzania

Hakuna Watu Wapumbavu Hapa Tanzania Kama Wafuasi Wa Chadema Yaani Taifa Stars Wafungwe Kwa Ajil Ya Makonda? Kama Hamumpendi Makonda Hameni Dar Es Salaam Basi Achen Upumbavu Mabwege Nyie
Mpumbavu ni wewe unayefikiri Taifa Stars ni ya Dar es salaam kama anavyodhani Makonda, mwambie asituharibie mpira wetu zaidi ya hapa ulivyo, asiingize siasa kwenye mpira, mpira hauna cha kusaidiwa na polisi wala NEC kushinda.

Na nimpe angalizo asije thubutu kwenda Uganda kupanga matokeo CAF na FIFA wanamfuatilia anaweza kupigwa ban la maisha kujihusisha na mpira.
 
Hivi hilo likamati nani kaunda? Ni Karia na TFF? Mbona ujinga huu haukuwepo na mambo yalikuwa yanaenda vizuri?
Makonda ni nuksi kweli kweli, nasikia eti kawaambia wenye vitambulisho vya umachinga watalipa nusu kiingilio huo sii ni uzwazwa mkubwa?
Kwani wao wana tofauti gani na watumishi wa majumbani, au wafanyakazi wa kima cha chini ambao wana kipato kidogo kuliko machinga?
 
Nilidhani anaisifia CCM kumbe anamsifia Rais wa Watanzania na Serikali ya Tanzania,tatizo liko wapi? Wewe kama humpendi Rais wa nchi na Serikali hilo halituhusu
 
Hii political mentality nnayoiona hapa kama ipo kwa wachezaji pia, nnaona tumeshafungwa kabla ya mechi, Ila kwa spirit ya Utanzania wangu naiombea Taifa Stars ishinde, Ushindi wao is proud to us all beyond our borders[emoji1374][emoji1374]
Mimi naiombea Lesotho washinde,nyie hata mkishinda goals kumi ni sawa na kutwanga maji kwenye kinu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahahaa kumbe anamsifia Jiwe badala ya kuita watu uwanjani kweli huyu FA FA FA FA FA .....(in Gwajima's voice)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…