Mpumbavu ni wewe unayefikiri Taifa Stars ni ya Dar es salaam kama anavyodhani Makonda, mwambie asituharibie mpira wetu zaidi ya hapa ulivyo, asiingize siasa kwenye mpira, mpira hauna cha kusaidiwa na polisi wala NEC kushinda.Hakuna Watu Wapumbavu Hapa Tanzania Kama Wafuasi Wa Chadema Yaani Taifa Stars Wafungwe Kwa Ajil Ya Makonda? Kama Hamumpendi Makonda Hameni Dar Es Salaam Basi Achen Upumbavu Mabwege Nyie
Na nimpe angalizo asije thubutu kwenda Uganda kupanga matokeo CAF na FIFA wanamfuatilia anaweza kupigwa ban la maisha kujihusisha na mpira.